Hivi hawa wanaosifia sana Serikali mitandaoni wanatoka wapi?

Hivi hawa wanaosifia sana Serikali mitandaoni wanatoka wapi?

Habari wana JF,

Binafsi nna kama Miezi 6 au zaidi sijakutana na mwanachi anaeishangilia na kuisifia hii serikali ya Awamu ya Sita.

Ingawa kuna ongezeko la mishahara na Ajira lakini bado kila sehemu malalamiko ikiwa ina Maana hii serikali bado inahitajika kufanya kitu cha ziada kwa Wananchi wake.

Swali: Hivi hawa raia walijaa mitandaoni kusifia sana wanatoka wapi mbona mitaani hatuwaoni? Au ndio wako maofisini wanatafuta teuzi?
Unashindwaje kuisifia serikali weye jamaa?Sifia serikali weye!Unataka umsifie "maleemu"?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Habari wana JF,

Binafsi nna kama Miezi 6 au zaidi sijakutana na mwanachi anaeishangilia na kuisifia hii serikali ya Awamu ya Sita.

Ingawa kuna ongezeko la mishahara na Ajira lakini bado kila sehemu malalamiko ikiwa ina Maana hii serikali bado inahitajika kufanya kitu cha ziada kwa Wananchi wake.

Swali: Hivi hawa raia walijaa mitandaoni kusifia sana wanatoka wapi mbona mitaani hatuwaoni? Au ndio wako maofisini wanatafuta teuzi?
Ni kundi la wanufaika wa walamba asali,ambao wanawaza ndani ya boksi la kijani.
IMG-20220723-WA0003.jpg
 
Kumekuwepo na tabia ya viongozi kupenda kusifiwa kuliko hata Mungu!
Ilianza kwa mwendazake kwani alikuwa mpenda sifa kupindukia (asili yao)
Cha ajabu hata awamu ya 6 tabia hii imekuwa endelevu sijui kwanini!
Ukiona 'mtu' anapenda kusifiwa sana ujue kuna tatizo mahali au kuna kitu hakiko sawa!
Tumeacha kutumia maneno kama "Serikali imetoa fedha au imejenga na badala yake tunatumia majina ya watu (maraisi) hii haiko sawa hata kidogo!
 
Wanashindwa kuajiri wanaostahili wanalipa machawa.
 
Habari wana JF,

Binafsi nna kama Miezi 6 au zaidi sijakutana na mwanachi anaeishangilia na kuisifia hii serikali ya Awamu ya Sita.

Ingawa kuna ongezeko la mishahara na Ajira lakini bado kila sehemu malalamiko ikiwa ina Maana hii serikali bado inahitajika kufanya kitu cha ziada kwa Wananchi wake.

Swali: Hivi hawa raia walijaa mitandaoni kusifia sana wanatoka wapi mbona mitaani hatuwaoni? Au ndio wako maofisini wanatafuta teuzi?
Tupo nao maeneo ya kutafuta riziki, na ukiwabananisha nje ya keyboard wanakuwa wadogo kama piriton.
 
Kwa hiyo kusifia ni dhambi sio? Kwamba haya yakifanyika wahusika watukanwe au? Acheni upumbavu [emoji116]
Hivyo vyote ni uchizi kwangu unajenga miundo mbinu huku watu tuna njaa unamjengea nani sokwe au nguvu kazi taifa ni vijana ebu waangalie ao vijana sasa wako hovyo balaa sasa hiyo nchi unajenga kwa manufaa ya nani ohhh nimekumbuka [emoji4] inchi iko kwenye mnada so tunaboresha ili tupate na chajuuu[emoji122][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sawa
 
Wanakwambia kla mtu na shida zake sasa unashangaa nn km ww huoni la kuisifia bas wwnzako wana sababu zaidi ya milion 10 za kuisifia Serikal
 
Habari wana JF,

Binafsi nna kama Miezi 6 au zaidi sijakutana na mwanachi anaeishangilia na kuisifia hii serikali ya Awamu ya Sita.

Ingawa kuna ongezeko la mishahara na Ajira lakini bado kila sehemu malalamiko ikiwa ina Maana hii serikali bado inahitajika kufanya kitu cha ziada kwa Wananchi wake.

Swali: Hivi hawa raia walijaa mitandaoni kusifia sana wanatoka wapi mbona mitaani hatuwaoni? Au ndio wako maofisini wanatafuta teuzi?
Uko sahihi mkuu!

Tatizo halisi ni hili.

Nchi hii kwa sasa imegawanyika katika matabaka makuu kama ifuatavyo!

"Upper Class Citizens!"
Hawa ni mkusanyiko wa Matajiri wakubwa,Viongozi wakubwa wa Serikali,Mashirika na Taasisi za Umma.

"Middle Class Citizens "
Hapa kuna wafanyabiashara wa kati,Viongozi wastaafu,Viongozi waandamizi wa Serikali,Mashirika na Taasisi za Umma.
Pamoja na wanasiasa wa chama tawala na upinzani,ambao kwa namna moja ama nyingine wananufaika na nafasi zao za kisiasa.

"Lower Class Citizens"
Hapa kuna watu wa kipato cha kati,toka sekta zote,sekta ya Umma na sekta binafsi.
Ambao wana uhakika wa kupokea Mishahara kila mwisho wa Mwezi,hivyo walau kuweza kujikimu wao na familia zao.
Kwa mahitaji muhimu ya kila siku,ikiwemo Chakula na Malazi,pamoja na mahitaji ya watoto wao kwenda na kurudi shule kila siku.
Pia humu wamo wale wanaoitwa wafugaji,ingawa kiuhalisia ni wachungaji.
Sababu Idadi ya mifugo yao,haishabihiani na uhalisia wa maisha wanayoishi wao na mifugo yao wanayoimiliki.

"Poor Class Citizens"
Hapa ndio kuna kundi kubwa almost 65% ya watanzania wanapatikana kwenye hili kundi.
Wakiwemo wananchi wa mashambani huko vijijini,ambao wanapewa jina la bandia la "wakulima" ingawa haliendani na uhalisia wake.
Pia kuna wastaafu waliokuwa watumishi wa nafasi za chini katika taasisi za Umma na binafsi.
Wakiwemo Askari,Walimu,Manesi,Wavuvi,
nk.
Hawa ndio wahanga wakubwa wa Tozo na Mfumko wa bei nchini.

Sababu kipato chao ni "Hand[emoji113] to Mouth"
....Bora Mkono Uende Kinywani.

My Take ni hii:
Wale unaowakuta wakiisifia Serikali mitandaoni kwa sasa!......
Wengi wanapatikana kwenye Tabaka la kwanza na la Pili.

Sababu wananufaika moja kwa moja na kinachoendelea kwa sasa!

Iwe kwenye ....
Tender kubwakubwa!
Mishahara na Marupurupu!
Uteuzi mnono kwao na watoto wao!

Au hata Rushwa mbalimbali zitokanazo na Vimemo,kutokana na nafasi zao za ushawishi ndani ya wateule wenye mamlaka ya kufanya maamuzi nyeti huko ndani ya mfumo.
 
Habari wana JF,

Binafsi nna kama Miezi 6 au zaidi sijakutana na mwanachi anaeishangilia na kuisifia hii serikali ya Awamu ya Sita.

Ingawa kuna ongezeko la mishahara na Ajira lakini bado kila sehemu malalamiko ikiwa ina Maana hii serikali bado inahitajika kufanya kitu cha ziada kwa Wananchi wake.

Swali: Hivi hawa raia walijaa mitandaoni kusifia sana wanatoka wapi mbona mitaani hatuwaoni? Au ndio wako maofisini wanatafuta teuzi?
We unayelalamika kila wakati na kulaumu serikali kwa shida zako unakaa mitaa gani? Sasa km mmekaa vijiweni mmebaki kulalamikia serikali na uvivu wenu kwanini msione maisha magumu
 
Back
Top Bottom