Hivi hawa wanaosifia sana Serikali mitandaoni wanatoka wapi?

Ni kakikundi kameandaliwa na kanalipwa kwa kazi hiyo.
Pia kwenye kila alipo Mh. Rais Samia, kunakuwepo kikundi cha vijana kinaitwa "vijana wa hamasa".
Kazi yao ni kusifia.
 
Hakuna uongozi ambao utakosa watu wake wa kuusifia. Jambo la muhimu ni Katiba mpya.

Katiba mpya sawa, lakini kwanini hii ya Sasa hivi haizingatiwi? Hiyo mpya itakuja na muujiza Gani isifujwe?
 
Ni kikosi kazi cha awamu ya sita
 
Ni ujinga kufikiri kama Kenya vitu bei inapanda lazima na mimi vipande huku nchi unazotaja hata vyakula tu wanategemea Nje
 
Katiba mpya sawa, lakini kwanini hii ya Sasa hivi haizingatiwi? Hiyo mpya itakuja na muujiza Gani isifujwe?

Iwapo katiba mpya itakuja kwa haya mazungumzo huku CCM ikiendelea kuwepo madarakani, sioni katiba mpya ikitekelezwa ipaswavyo. Katiba nzuri na itakayofuatwa ni baada ya machafuko, au mapinduzi ya kijeshi au mengine, ila sio hili ya mbwembwe za kikosi kazi.
 
Kuna mijinga imeajiriwa kwa nazi hio ikiongozwa na falacy na yohana mbatizaji
 
Ni ujinga kufikiri kama Kenya vitu bei inapanda lazima na mimi vipande huku nchi unazotaja hata vyakula tu wanategemea Nje
Uwezo wako wa kuelewa nilichoandika ni mdogo sana. Akili yako inaweza kufikiria kula tu!!
 
Nakumbuka skuli unapiga pepa unasolve swali unajihisi lile niko sahihi, pepa linarudi umekosa.

Umejaribu, lakin umekosea mzee.
 
Kila mmoja ashinde mechi zake. Acha kulialia hapa, binadamu tumeumbwa tofauti, tuna akili tofauti na hisia tofauti. Kama wewe huoni mazuri ya Serikali ya Samia ni wewe, usitulazimishe tunaoyaona tuseme hatuyaoni.
 
Hao watakuwa walamba asali wa saccos ya Ufipa tu.
 
nafikiri wanatoka hukohuko wanakotoka wanaoponda. Nipo tayari kwa masahihisho kama itakuwa nimekosea!
 
Ni njaa tu zinawasumbua, kuna chawa mmoja humu (mtoto wakiume) ila kajiendekeza sana.
 
Ndio maana wako mitandaoni maana yake ni sifa feki
 
Ni kakikundi kameandaliwa na kanalipwa kwa kazi hiyo.
Pia kwenye kila alipo Mh. Rais Samia, kunakuwepo kikundi cha vijana kinaitwa "vijana wa hamasa".
Kazi yao ni kusifia.
inawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…