Hawa nahic hawasikilizagi radio muda wote ila ikifika muda anatuma txt hata km yupo mbali na radio haiwezekani unamsikia radio free ukibadili clouds unamkuta ukibadili radio one unamkutaKuna mwingine Jina limenitoka yaan yeye akianza kuongea anasema Halo Halo Halo Halo Halo kwa sauti ya kukwaruza kwaruza utazani redio inapoteza frequency kumbe ni sauti ya mtu, pia kuna yule mama yupo Mkuranga Sheli ya Njano jina limenitoka pia kuna mwingine amevuma mpaka akachukuliwa kwenye kipindi Cha Radio kabisa Tena alianzia mtaani tu kuponda ponda kero sasa akachukuliwa km expert wa Mambo ya mtaani Clouds hao walimchukua anaitwa Zai
Unaelewa maana ya Salamu Club ?Hawa nahic hawasikilizagi radio muda wote ila ikifika muda anatuma txt hata km yupo mbali na radio haiwezekani unamsikia radio free ukibadili clouds unamkuta ukibadili radio one unamkuta
Unaelewa maana ya Salamu Club ?Huyu fundi hamis kila radio station utamsikia
Kama tunavyoiganda jf hapa tu mkuu ni mapenzi ya dhatiKuna kipindi nilikuwa nikisikiliza radio hukosi simu au message za hawa watu katika kipindi chochote;
1. Mwalimu Kennedy mpemba kutoka Kahama hasa kwenye DW
2. Hamisi full migebuko kutoka kigoma
3. Daudi wa kota
4. Salma Msangi kutoka Dodoma
5. Kuna mwingine Filbert japo jina la mwisho nimesahau hutuma sana DW
Baba mzazi umenikumbusha mbali😁😁Awowo Apewe - TBC fm na djaro Arungu
Ni vile tu mtu anavyojisikia kufanya jambo fulani linalompa furaha. Ni kama vile ambavyo wewe unapenda kuingia JF kila mara.Kwa faida gani Sasa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Makongoros mbeyaMzee Lawena Nsonda RFA
Makongorosi chunyaMakongoros mbeya
Ww ndio umetaja vyema nilikuwa nashindwa kumalizia jonathandw
filbet Jonathan
jafari kopo
wengine nimewasahau Mana redio niliacha kusikiliza tangu 2020
watangazaji wa dw umul kheir
idisesanga Amina abubakar sudi mnete😅😅niliwapenda sana
natamani miaka irudi nyuma nisikilize redio na kuchek tv Mana huu ubuze huu dah.
Kuna mwingine anajiita mapambano abel, ukisililiza radio1 kila kipindi lazima apige simu. Na anakuwa wa kwanza.
Media timu na salamu club inamaana wanagroup ya WhatsApp nn? Wanawaadd na watangazajiKinyozi mstaafu kutoka geita na wale wa power media team.
huwa nashanga sana hadi kipindi cha watoto anampa mwanae simu aongeKuna mwingine anajiita mapambano abel, ukisililiza radio1 kila kipindi lazima apige simu. Na anakuwa wa kwanza.
😂😂😂🤣🤣anamfundisha namna ya kuwahi nafasi kwenye mediahuwa nashanga sana hadi kipindi cha watoto anampa mwanae simu aonge