Hivi hawa wazungu kuhusu maadili ya binadamu nani kawaloga?

Rais wa Ufaransa mkewe ni kikongwe wa umri wa kumzaa yeye. Alikuwa mwalimu wake chuo kikuu.

Huyo huyo Rais wa Ufaransa juzi hapa kamteua kijana shoga kuwa Waziri Mkuu wa nchi yake kisha huyo shoga kamteua mume wake yaani basha wake kuwa Waziri wa Mambo ya nje wa nchi hiyo.

Hivi ni vituko vya kutosha hata kwa hao wazungu wenyewe. Somo gani linatumwa kwa watoto na kwa walimwengu kwa ujumla.

Kwamba ushoga sasa liwe si jambo la kujificha wala chukizo kwa Mungu na binadamu. La kujiuliza nani kawafunga mdomo watu hadi vinaundwa vikosi kazi kwa siri na nchi za Magharibi kukuza ushoga.

Yaani kijana wako lijali kwa hila na black mail anageuzwa shoga?

Mwaka jana niliwahi kuona clip ya video Waziri mmoja wa Canada akitangaza kwenye mkutano yeye ni shoga na mumewe kamuonyesha alikuwa hapo kwenye mkutano.

Kwanza mkutano ulikuwa hauna uhusiano wowote na mada ya ushoga.

Huku Tanzania tumeshajua kuhusu mitandao ya kueneza ushoga ikiletwa na wazungu.

Haya ni mambo walimwengu tuvalie kibwebwe kupinga maana huko magharibi binadamu wamezidiwa nguvu na waovu lakini kwa hakika hawapendi ubinadamu kudhihakiwa kiasi hicho. Tuwakamate wahusika wenyewe maana serikali zinaogopa wazungu.
Sisi ni wanafiki. Wao ni wawazi. Mashoga huku kwetu yapo kibao na wanaume wapenda mashoga wapo kibao.
 
Wewe sijui ulikua wapi wakati mwaka jana hapa nchini mwakembe akiongoza watafiti wakujitolea wamekuja na taarifa refu iliyoshitua kuhusu NGOs zinazokua funded na wamarekani kwa ajili ya kueneza ushoga.
Kelele tu za kutafuta umaarufu zile, umeona kuna ushahidi wowote uliwekwa? Au kuna taasisi yoyote ilifungwa?

Mwakyembe Is a loser looking for a political mileage to resuscitate his political life
 
Mwakyembe na yule dada wapo wapi. Ukivunja haki za binadamu ndani ya Africa ni kujitakia shida mwenyewe.hiyo inaitwa life ban. Hutosikika kuanzia Kijijini mpaka ulimwenguni
 
Rais wa Ufaransa mkewe ni kikongwe wa umri wa kumzaa yeye. Alikuwa mwalimu wake chuo kikuu.

Huyo huyo Rais wa Ufaransa juzi hapa kamteua kijana shoga kuwa Waziri Mkuu wa nchi yake kisha huyo shoga kamteua mume wake yaani basha wake kuwa Waziri wa Mambo ya nje wa nchi hiyo.

Hivi ni vituko vya kutosha hata kwa hao wazungu wenyewe. Somo gani linatumwa kwa watoto na kwa walimwengu kwa ujumla.

Kwamba ushoga sasa liwe si jambo la kujificha wala chukizo kwa Mungu na binadamu. La kujiuliza nani kawafunga mdomo watu hadi vinaundwa vikosi kazi kwa siri na nchi za Magharibi kukuza ushoga.

Yaani kijana wako lijali kwa hila na black mail anageuzwa shoga?

Mwaka jana niliwahi kuona clip ya video Waziri mmoja wa Canada akitangaza kwenye mkutano yeye ni shoga na mumewe kamuonyesha alikuwa hapo kwenye mkutano.

Kwanza mkutano ulikuwa hauna uhusiano wowote na mada ya ushoga.

Huku Tanzania tumeshajua kuhusu mitandao ya kueneza ushoga ikiletwa na wazungu.

Haya ni mambo walimwengu tuvalie kibwebwe kupinga maana huko magharibi binadamu wamezidiwa nguvu na waovu lakini kwa hakika hawapendi ubinadamu kudhihakiwa kiasi hicho. Tuwakamate wahusika wenyewe maana serikali zinaogopa wazungu.
ushoga kwao ni kitu cha kawaida,waachie wao,lakini unashangaa wazungu,hivi unajua kuwa hapa afrika nchi 20 zimeruhusu ushoga na watu wanaoana hadharani?
 
Back
Top Bottom