Hivi haya mabanda ya Machinga kila kona Dar wameshindwa kuyadhibiti?

Kwakweli serikali ifikirie upya jambo hili , japo mimi ni mdanyabiashara mdogo lakini siridhishwi na uwekaji wa mabando ya machinga kila pahala pa mji , tena mamantilie wanapikia kuni za asili nakuzalisha moshi mwingi na kufanya hewa kuwa nzito , hili nimeliona Ubungo karibu na Barabara za ju zinazo malizika kujengwa sasa.
 
Dada futa kauli yako hyo.....watu tuna mitaj ya mpaka mil50 huko huko barabaran..na kama hujashtukia hilo dili kaa hivyo hvyo..acha dharau kabisa kwa kitu usichokijua.....acha kabisaaaa
Hahaha kamdanganye mtu mwningine. Na kama una huo mtaji wewe ni mwizi.
 
Serikali ingejenga masoko yenye class tofauti tofauti.

Hapo kungekuwa hakuna mtu kukaa barabarani.
 
Kila mahali mibanda michafu kama CHOKORAA CITY.

Mji wote umeharibika aisee.... hata barabara ambazo zilikuwa zinapendeza kwa mandhari nzuri, sasa hivi zimejaa matambara na maboksi kila mahali.
 
Wacheni wapiga kura. Serikali ya wanyonge hii. Uchafu kitu gani bhana. Mtu akilipa buku 20 asibughuziwe hata kigogo.

JIWE aliwatoza shs 20 akawapa vitambulisho na ametoa amri wasisumbuliwe!!! Ukiingiza siasa kwenye mambo ya msingi kama vile kutunza mazingira yetu, matokeo yake ndio hayo.
 
Hawa wapumbavu wanasahau kuwa tanzania ni kati ya nchi masikin sana dunian..wanataka turuke hatua tuwe kama paris or wateva..kitu ambayo haiwezekan..haya mambo huwa yanakuja automaticaly...machinga wanakuja automaticaly...huwez anza kataza au fukuza machinga kwenye nchi masikin kama hii....hawa jamaa wabishi kwenye huu uzi achana nao weng ni graduate ambao bado wako nyumban na hawajajitambua kuwa maisha ni mapambano makali..wanakula ugali home tu...na hawajui kuwa hayo mabanda kuna wtu wamewekeza pesa nying..wao wakipita wnaachkulia poa. Kuna watu wanaingiza mamilion kwenye hayo mabanda..waende waulize
 
Baseless..pointless !!
Sisi tutazame yetu na majiji yetu..
USAFI na tutunze mazingira yetu.. tusinyamaziane au kubebana ktk uendeshaji na utendaji.
Punguan lingine hili......yaan unataka kujifanya et uangalie majiji yako...jiji gani?..umesahau tanzania ni moja kat ya nchi masikin za mwisho dunian..hiv hiki kizaz kipya cha jf kimetokea wap.facebook nin...sasa hutak jifunza kwa mmarekan ambae anawasaidia mambo yenu karibia 60%.....kwa udhamin wa watu wa marekan...utajifunza wap...huo ni mfano tu ..jamaa kakupa scenario mzima..bdo unabisha
 
Mkuu usibishane na huyo bwege anakutia hasira tu..huyo ni Zero brain kabisa achana nae.
 
Kama kwako maisha yanaenda bila kuuza dodoki, mshukuru mungu.
 
Hahaha kamdanganye mtu mwningine. Na kama una huo mtaji wewe ni mwizi.
Dada...unajua kwa maelezo ya mtu unaweza mjua ni kamtu ka aina gan..wew hata biashara hujawai fanya kwahyo hutakiw kutoa statement yoyote..narudia tena watu tuna mitaji mpaka ya mil50 kwwnye hayo mabanda ..acha dharau...umeona mil50 nying eeh

Unahis vibanda vile vya kuuza accesories za sim na simu mbezi mwisho tandika tegeta ni vya kina nani....ni vya sis wananchi..unahis mabanda yale kama maduka unanunua mahitaj yako kila siku unahis ni vya kina nan.ukienda kkoo ukakuta machinga wana mavyombo ya samani wametandaza barabaran unahis mzigo wanatoa wap...na kama hujashtukia umuhimu wa kuwa machinga bas utachelewa snaa.siku hiz mtu ana store yake ya mzigo wa mil20 ..anaenda mkoan anatafuta vijana wanakuja dar anawapangia chumba wanakua wanamtembezea mzigo had unaisha...halip kodi.halipi nin..wee unaongea nin m.pumbav hujui chochote..mtu ana mabanda 10..kila banda mtaj wa 4mil...anatumia kitambulisho cha magufur analipa elf20 kwa mwaka ..utamwambia nn..kaen hvyo hvyo kwa kutegemea hela za kudanga.wenzenu wanapambana...
 
Tuna safari ndefu sana ya kufikia level ya majiji masafi, ndefu mnooo
 
Tuna safari ndefu sana ya kufikia level ya majiji masafi, ndefu mnooo
Sanaa..wambien serikal yenu iboreshe maisha ya wananchi wake..kipato cha chin kianzie mil1...hapo ndo mtapata hayo mazingira mnayotaka..sio ka nchi masikin halaf et mzuie machinga..machinga wako dunia nzima..mpaka china..huo usaf na utaratib wa wao kupangiwa maeneo ..bado sana kwa mchi masikin kama tanZania ambayo hata panadol hospital inakua ishu...watu wawe practical..wasifosi uchumi mkubwa wakat kiuhalisia ni bado sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…