Nakuhakikishia kuwa siyo huyo mamako ama hao wanyonge wa Hamza anayejua jasusi toka mbinguni liko wapi muda huu.kusema eti mtumishi yupo chimbo ambalo serikali hailijui ni upuuzi wa kiwango cha ubongo wa sisimizi.
Nakuhakikishia kuwa siyo huyo mamako ama hao wanyonge wa Hamza anayejua jasusi toka mbinguni liko wapi muda huu.kusema eti mtumishi yupo chimbo ambalo serikali hailijui ni upuuzi wa kiwango cha ubongo wa sisimizi.
Hivi amepotelea wapi?Gwajima mtu wa Mfumo
Hahaha nlitegemea labda ungeweka facts either ya sauti, video au maandishi yoyote ya Lowasa akisema mwenyewe haya uliyoandika ili tuamini kuwa nimepotisha. Lakini kumbe na wewe umekuja na maandishi yako tu matupu uliyoyafikiria wewe mwenyewe kichwani kwako. Sasa hapo nikisema wewe au sisi wote tumepotosha kwa kuandika vitu bila uthibitisho wa muhusika mwenyewe nitakosea?Hongera kwa mtazamo wako japo ni mtazamo wa upotoshaji. Ni hivi, Lowassa hakuandalowa na ccm kwenda upinzani, bali aliutaka sana urais kipitia ccm na akakatwa. Akatumia hela zake kununua nafasi ya kugombea kupitia chama chenye nguvu, nacho ikawa ni cdm. Na kwakuwa Mbowe alikuwa ni mwenyekiti akachota hela.
Hii ya Magufuli ilikuwa mipango ya kumfanya arudi kule alipotoka kwa kisingizio cha kumuogopa Magufuli kumbe geresha tu. Ni kitu gani cha maana ambacho unaweza kusema Magufuli alikitaifisha kutoka kwake hadi ikapelekea yeye kuogopa na kurudi CCM?Ni upotoshaji wa makusudi kuwa Lowassa alirudi ccm baada ya kukamilisha kazi yake. Ukweli ni kuwa wanaccm wengi wanamiliki utajiri walioupata kwa wizi kwenye fedha za umma. Ifahamike Magufuli alikuwa rais mwenye kupenda kukomoa, na alipombana Lowassa kwenye utajiri wake wa wizi, akawa hana ujanja zaidi ya kujisalimisha, na Magufuli alifanya hivyo akitegemea wafuasi wa upinzani wamkubali kwa kudhani wapinzani huwa wanahama na kiongozi.
Nafikiri umesahau kuwa vyama vyote vimeanzishwa na wana CCM ikiwemo Chadema, CUF, NCCR nk. Na vyote vilianzishwa kwa mpango maalum ndio maana viongozi wote wa vyama hivyo ukiwafuatilia kwa makini unakuja kugundua mwishoni kwamba wanatumika au kutumiwa na viongozi wa serikali ya CCM. Ukimuangalia Mrema wa 95 katika uchaguzi mkuu jinsi alivyokuwa na nguvu kisiasa, na tishio kubwa kwa CCM sidhani kama kuna siku watu wangekuja kugundua kwamba jamaa alikuwa anafanya kazi na serikali ya CCM kuihadaa dunia na watanzania kwa ujumla.ACT ni chama kilichonzishwa na kina JK akiwa na kundi lake lan kina Membe, Mwigulu nk, na lengo ilikuwa ni kupata chama cha kupambana na cdm. Membe alikuwa muhanga wa siasa za Magufuli, na ni mmoja wa viongozin wa ccm waliokuwa wanamchukilia Magufuli kama mshamba na mpenda sifa, wakawa wanavutana akahama ccm na kuhamia ACT ambacho ni chama walichokianzisha wenyewe. Ila maalim Seif hakuwa tayari kuchezewa kama mchezo wa Lowasa, ndio maana Zito akakubali Membe agombee urais, lakini Maalim Seif akaamuunga mkono Lisu na sio Membe. Zito hakuwa na namna maana Membe ndio walikuwa wenye chama.
Hii ya Nyalandu kukosa kosa kugombea Chadema 2020, naikumbuka sana mkuu.Kwenye huo ujio wa wanaccm walikuwepo akina Nyalandu ila cdm wakamstukia, lakini Mbowe alikuwa anamtaka zaidi Nyalandu na sio Lisi ila alizidiwa nguvu na wanachama wa cdm, ambao hawakitaka upuuzi wa Lowassa ujirudie. Huyo Gwajima ni kweli anaweza kwenda upinzani, lakini hakuna mfuasi wa upinzani mjinga tena. Labda aende Chauma ambayo imeshafahamika ni project ccm.
Wengi waliambatanisha kauli hii ya Nyerere na ujio wa Lowasa upinzani mwaka 2015. Baada ya pale sidhani tena kwa sasa hivi kutokea mtu wa aina hiyo. Huyu mtumishi yeye kapangwa tu aje na mbinu zile zile za kina Lowasa, Membe, Nyalandu nk.Usisahau Nyerere alisema upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM. Hakutaja lini na kwa namna gani. CCM ndiko maovu yote yanakoendelea sasa na kukaliwa kimya.
Sasa usishangae wadau wakijiuliza kama Gwajima aliyeongoka ndiye au wamtarajie mwingine?
Usisumbuke bure. Wengi walitarajiwa wakapita hivi hivi. Hata huyu kama siye naye atapita hivii 🫱🏽… Lakini amin, nakwambia, aliyesemwa lazima atokee na huenda tayari yu miongoni mwetu.
Ukionganisha dot lazima uone kuna jambo limepangwa kimya kimya ili kundi fulani liingizwe chaka.Duh hii mbona kama ni kweli
Tatizo lenu mambo yakienda kama nilivyoandika hapa, huwa mnaona aibu na kubadili ID mpya ili kuficha aibu ya ulichotetea.Nakuhakikishia kuwa siyo huyo mamako ama hao wanyonge wa Hamza anayejua jasusi toka mbinguni liko wapi muda huu.
Yupo chaka anapokea maelezo ya nini cha kufanya ili kuendelea kukinusuru chama. Kama unakumbuka hata 2020 kuna kipindi Membe alipotea ghafla hivi hivi.Hivi amepotelea wapi?
Unabisha nini unajua mfumo ni mpana sana kiufupi kuna mfumo wa ndani na kuna mfumo wa nje na yote ni mifumo
Mkuu umeandika sana lakini mimi naona hii si habari kubwa ya kukusumbua kisasi hicho. Gwajima anaweza kuwa tapeli au diversion. Haijalishi sana. Akili kichwani. Watu wanatapeliwa kila siku. CHA MAANA angalau sauti moja imesikika kuhusu ushenzi unaozidi kukua na kukomaa nchini.Wengi waliambatanisha kauli hii ya Nyerere na ujio wa Lowasa upinzani mwaka 2015. Baada ya pale sidhani tena kwa sasa hivi kutokea mtu wa aina hiyo. Huyu mtumishi yeye kapangwa tu aje na mbinu zile zile za kina Lowasa, Membe, Nyalandu nk.
Wajanja washashtukia ndomaana hili tukio wanaliangalia tu waone mwisho wake.
Big NoLisu mwenyewe ni mmoja wa wazee wa suit😂🙆,anakwepesha chama kisishiriki uchaguzi
Inasikitisha sanaMkuu umeandika sana lakini mimi naona hii si habari kubwa ya kukusumbua kisasi hicho. Gwajima anaweza kuwa tapeli au diversion. Haijalishi sana. Akili kichwani. Watu wanatapeliwa kila siku. CHA MAANA angalau sauti moja imesikika kuhusu ushenzi unaozidi kukua na kukomaa nchini.
Hata tawala mbovu kama za Mobutu, Idi Amin, Nguema hazikufikia kiwango cha IMPUNITY katika utekelezaji wa unyama kwa wapinzani na wakosoaji kama tulipofikia. Mamlaka zikiulizwa zinatoa majibu ya kijeuri sana na kufunga mjadala kwa nguvu.
Watu wanachukuliwa na Polisi Mahakamani asubuhi wananchi wakiona na media zikirekodi, wanaenda kuteswa, kisha kutelekezwa machakani. Polisi wakiulizwa wanajibu kwa kejeli. Mtu anachukuliwa na polisi/usalama ndani ya basi mchana kweupe. Licha ya taarifa kuenea wakati huohuo kesho yake mwili wake unapatikana eneo la jirani umesulubiwa vilivyo na macho kutobolewa! Mamlaka zinatoa maneno ya kejeli.
Kwa kadiri siku zinavyosonga mamlaka zimeamua kutelekeza vyombo na taasisi za kisheria. Mahakama zinazidi kupoteza maana. Ni njia za mkato tu. Kuteka, kunyanyasa, kutesa, kudhalilisha, kuua na kupoteza. Due process can go to hell! Tutaishia wapi?
Acha Gwajima atiririke. Kama ni mbabaishaji au mropokaji IS NOT A BIG DEAL. Angalau ujumbe anaotoa utaanza kutikisa uozo unaotaka kuangamiza taifa. Hakuna mwingine anayesema. Kama ndio utawala mbovu unazidi kufitinika, so well be it. Integrity ya Gwajima tuasumbuka nayo miaka ijayo; sio leo. Kwa sasa atajijua na Mungu wake.
Shida yako udini umekujaa kichwaniLisu mwenyewe ni mmoja wa wazee wa suit😂🙆,anakwepesha chama kisishiriki uchaguzi
Agenda Setting Theory umeiva vizuriHabari zenu wanaJF wenzangu
Leo naomba nianze na matukio matatu yalioanza kutokea katika chaguzi kuu tatu za Tanzania, ili kujua na kufahamu kuwa ni kina nani ambao huwa wanapanga mipango hii kila inapofikia karibu na uchaguzi mkuu wa Tanzania.
Mwaka 2015, karibu na uchaguzi mkuu, vyama vya upinzani viliungana (UKAWA), kwa lengo la kumsimamisha mgombea mmoja wa uraisi mwenye nguvu, na mvuto wa pekee aje apambane na mgombea yoyote atakaeteuliwa na CCM kugombea nafasi hiyo ya uraisi. Kati ya watu ambao walikuwa wanapewa nafasi kubwa ya kupita katika mchujo wa UKAWA ili aje apambane na mgombea wa CCM bara ni Dr Slaa. CCM japo sijui ni chama au serikali walipoona hivyo wakaja na plan B ya kutengeneza mazingira ya kutoelewana ndani ya chama kati ya Kikwete na Lowasa ili akatwe, ajifanye kuhama chama, na aende akalazimishe kugombea UKAWA. Kweli mission ile ikafanikiwa Lowasa akaenda kugombea UKAWA, kupitia tume ambayo bila shaka alijua kabisa atashindwa ili kukamilisha mission waliyopanga.
Baada ya uchaguzi kuisha Lowasa akazuga zuga baadae akashindwa kuendelea kuzuga akarudi kule kule kwa wenzake.
Mwaka 2020, karibu na uchaguzi zengwe lingine likaanzishwa tena kati ya Magufuli na Membe. Lengo lilikuwa Membe akimbilie katika chama kikuu cha upinzani ambacho kilikuwa tishio kwa mamlaka. Lakini Membe baada ya kuona chama hicho kikuu cha upinzani kimemwita mgombea wao kutoka Ubelgiji, jamaa akawa hana namna zaidi ya kwenda kuzuga ACT Wazalendo. Huko napo alishindwa kumalizia kampeni akaingia mitini na baadae kurudi tena kwa wenzake kama alivyofanya Lowasa.
Mwaka huu naona yale yale yanajirudia. Mtumishi wa Mungu ameona matukio haya yamenza kufanyika toka 2017 enzi za kina Lisu kupigwa risasi kakaa kimya, Ben saa8 kupotea kakaa kimya, mzee kibao kuuwawa kakaa kimya. Sasa umefika muda wa vyama kuanza kutafuta wagombea mbali mbali wa nafasi za uraisi, vikiwemo vyama vya upinzani ndo na yeye anaanza kuibuka kama walivyoibuka kina Lowasa na Membe, ili afukuzwe chamani na kwenda kule ambapo atatumwa akagombee kuharibu mipango ya chama hicho.
Sikatai kwamba ana hoja na aliongea mambo ya msingi. Lakini kwanini hakuyazungumza au kukemea haya mapema toka kipindi kile cha Lisu kupigwa risasi, Ben saa8 kupotea? Au alikuwa hayupo nchini ili tusimlaumu?
Hii ni sawa sawa na watu ambao walikuwa wanapinga raisi Magufuli asifute mikataba mibovu ya madini, kwa madai kwamba wakati mikataba hiyo inasainiwa yeye alikuwa nchini hivyo ilitakiwa aipinge wakati ule ule. Sasa na mtumishi wa Mungu kwanini hakupaza sauti kipindi kile kile?
Yani mtoto amegongwa na nyoka badala ya kuwahi hospital kuzuia madhara ya sumu kupanda, wewe unasubiri sumu ishafika kichwani eti ndo unajifanya kumuwahisha hospital kuokoa maisha yake 🤣🤣🤣.
Kwa sasa naamini mtumishi yupo sehem anapewa elimu, na maelekezo ya kwenda kufanya huko apohamia, kusema eti mtumishi yupo chimbo ambalo serikali hailijui ni upuuzi wa kiwango cha ubongo wa sisimizi. Mamlaka inajua alipo, lakn pia inajua yupo huko alipo kwanini.
Huku kungine ni mwendo wa No reform No election. So ACT Wazalendo kuweni makini. Msije kushangaa mtumishi baada ya uchaguzi mkuu anarudi chamani na kuteuliwa na raisi katika zile nafasi za wabunge wa kuteuliwa na raisi kisha kuendelea na maisha kama kawa.
Katika Afrika kila mbinu ya kucheza na akili za watu huwa inawezekana kabisa.
Vijana wa 2010 huyo, hata kubalehe anyone anaonekana bado hajabalehe. So ni vigumu sana kuyajua mambo ya mifumo. Kikubwa anachofahamu ni kupelekwa kwa Gwajima kumpigia makofi na kumshangilia tu kila J2.Unabisha nini unajua mfumo ni mpana sana kiufupi kuna mfumo wa ndani na kuna mfumo wa nje na yote ni mifumo
Hakika mkuu. Jamaa yupo chimbo akipewa maelekezo.Hapa kuna kitu nyuma ya pazia, wanataka kucheza na akili zetu