Hivi Hayati Magufuli alikosaje akili ya kutengeneza kitu cha maana kama Royal Tour?

Magufuri alikuwa mfuatiliaji, hakuwa mtu wa kukurupuka,Alishawambia ktk utawala wake hatakia ujinga ujinga, he was the man of principle, over.

Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
 
..tatizo alichanganya maono hayo na ukatili na ubaguzi.
Joka kuna watu wanamsingizia magu mambo mengi ebu nipe maelezo ya zile maiti kwenye viroba,ndiyo maana magu alituomba tumwombee kwani alijua game ni zito kiasi gani.
 
Alikuwa muuwaji, mtu muuwaji hafai kumbuka tukio la Kaini kumuua ndugu yake Abel.

Mungu akamlaani na kumfukuza kwenda mbali na jamaa zake. Na kizazi chake kikafutwa.

Magufuri hakuwa na zuri hata moja alikuwa laana kwa nchi yetu
Ujui unachokiongea, your idiot man


Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
 
Joka kuna watu wanamsingizia magu mambo mengi ebu nope maelezo ya zile maiti kwenye viroba,ndiyo maana magu alituomba tumwombee kwani alijua game linaendaje.

..hakuwa na busara zinazohitajika kwa nafasi ya Raisi.

..Uraisi unahitaji mtu anayeweza kuunganisha wananchi wake na sio kuwagawa, au kuendekeza ubaguzi.

..pia Uraisi unahitaji mtu anayeheshimu sheria. Jpm aliheshimu sheria pale inapom-favour yeye, kinyume na hapo alivunja sheria.

NB.

..zile maiti kwenye viroba ilitakiwa kufanyike uchunguzi ili kuwatambua walikuwa kina nani.
 
Ninamsapoti mama kwa mengi,ila kwa hii twaa. Tumepigwa
 
Ila kutengeneza uwanja wa mabilioni usio na kazi ni faida
 
Heee sawa vipi kuhusu uwanja wa chato
 
Kazi moja akiyopewa na chama chake na akaitumikia kikamilifu ni kuua upinzani tu.
 
Busara ya rais ni kuacha mambo yawe Kama tunavyoona Leo bei hazi shikiki,uzembe, wizi na ujambazi kurudi kwa kasi? Joka unajua shida yetu waafrika ni aina ya viongozi tulionao na ndiyo sababu ya kushindwa kila kitu,magu alikuwa mwiba kwa wakubwa ngoja alale na wao waendelee kufanya wafanyavyo.
 
Alikuwa muuwaji, mtu muuwaji hafai kumbuka tukio la Kaini kumuua ndugu yake Abel.

Mungu akamlaani na kumfukuza kwenda mbali na jamaa zake. Na kizazi chake kikafutwa.

Magufuri hakuwa na zuri hata moja alikuwa laana kwa nchi yetu
Ni laana kwa wapumbavu wa ukoo wako
 
Machadema ni mapumbavu sana!

Ndio maana fatuma sasa hivi anawaita nyumbu
 
Alhamdullilah, yaani wewe pamoja na kisomo chako royal tour ni kitu cha maana sana? Hiyo royal tour ni moja tu ya tools of marketing sijui kama unafahamu hicho kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…