Kwenye magumu marehemu wanakumbukwa.
Hivi pamoja na akili zake Magufuli naamini asingeingia ujinga wa kugawa gateway ya nchi kizembe namna hiyo. Na bado naamini mtu mwenye akili timamu kamwe hawezi kugawa bandari ya nchi kizembe kiasi hicho haiwezekani.
Tuanze kugawa bandari ya Zanzibar kwanza ndio tufanye majadiliano ya kugawa bandari ya Tanganyika. Muda mwingine unawaza sana hii nchi inaenda wapi?
Huwa hatutaki kuandika lakini inakera sana, hawa watu washatugeuza watanzania wajinga kama wao. Unaweza kua mnaongozwa na watu mnaowashinda akili ndio taabu huanzia hapo.
Police, TISS, JWTZ hebu awamu hii kaeni pembeni muone watakavyoonjeshwa joto la makaa ya mawe hawa wauza bandari.