Nilikonda sana kwa kweli. Nadhani hadi sasa ningekuwa na Kilo 3 tu[emoji1787]Kipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu.
Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya efata nk.
Bureau de change zote biashara ikafa. Kila sehemu ilikuwa ni vilio tu.
Sasa angekuwa yupo hai mpaka Leo nchi ingekuwa inaomboleza daily kwa watu kufa ama kwa stress au kwa msongo wa mawazo mana biashara hakuna, ajira hakuna kila kituhakuna.
Alafu nchi ikaingia uchumi wa kati!!Kipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu.
Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya efata nk.
Bureau de change zote biashara ikafa. Kila sehemu ilikuwa ni vilio tu.
Sasa angekuwa yupo hai mpaka Leo nchi ingekuwa inaomboleza daily kwa watu kufa ama kwa stress au kwa msongo wa mawazo mana biashara hakuna, ajira hakuna kila kituhakuna.
Tungekuwa nchi ya hovyo kama Somalia au YemenKipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu.
Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya efata nk.
Bureau de change zote biashara ikafa. Kila sehemu ilikuwa ni vilio tu.
Sasa angekuwa yupo hai mpaka Leo nchi ingekuwa inaomboleza daily kwa watu kufa ama kwa stress au kwa msongo wa mawazo mana biashara hakuna, ajira hakuna kila kituhakuna.
Kama JPM angekuwapo US DOLLAR ingekuwa inapatika bila shida tena exchange rate isingekuwa inazidi 2,300. Watu wangeendelea kununua vitu nje bila kudunduliza Dollaar.Kipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu.
Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya efata nk.
Bureau de change zote biashara ikafa. Kila sehemu ilikuwa ni vilio tu.
Sasa angekuwa yupo hai mpaka Leo nchi ingekuwa inaomboleza daily kwa watu kufa ama kwa stress au kwa msongo wa mawazo mana biashara hakuna, ajira hakuna kila kituhakuna.
Wewe acha porojo zako uchumi wakati wapi? Mbona alishindwa hata kuongeza mishahara kwa watumishi? Mbona mifuko ya hifadhi za jamii iliunganishwa? Mbona alileta sheria za kikokotoo? Mbona Bank zilifungwa?Alafu nchi ikaingia uchumi wa kati!!
"Atakayekubariki Israel nitambariki"
Ramani ya kutengwa kimatofaNchi ingekuwa kwenye ramani nzuri kimataifa
Bagamoyo hakukua na kiwanda cha chimvi, huo ni uongo.Kipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu.
Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya efata nk.
Bureau de change zote biashara ikafa. Kila sehemu ilikuwa ni vilio tu.
Sasa angekuwa yupo hai mpaka Leo nchi ingekuwa inaomboleza daily kwa watu kufa ama kwa stress au kwa msongo wa mawazo mana biashara hakuna, ajira hakuna kila kituhakuna.
Uchumi na kuongeza mishahara wapi kwa kwapi .mimi pato langu kiiongezeka sio laazin niongeze nguo .ninawa kuongeza hata kiwanja , na siku nikikiuza utaweza ukFikir IWewe acha porojo zako uchumi wakati wapi? Mbona alishindwa hata kuongeza mishahara kwa watumishi? Mbona mifuko ya hifadhi za jamii iliunganishwa? Mbona alileta sheria za kikokotoo? Mbona Bank zilifungwa?
Aliiba uchaguzi kisha akaingiza wabunge 19 haramu bungeni ilikuwa shida
Sheria hazikufanya kazi bali mamuzi ya mtu mmoja
Uhalisia wa kuongeza mshahara huangalia mfumuko wa bei!Wewe acha porojo zako uchumi wakati wapi? Mbona alishindwa hata kuongeza mishahara kwa watumishi?
Wingi wa mifuko ya hifadhi ya jamii siyo kielelezo cha uchumi imara. Ni suala la maamuzi tu.Mbona mifuko ya hifadhi za jamii iliunganishwa? Mbona alileta sheria za kikokotoo?
Benki hufungwa kulinda amana za wateja na uchumi wa nchi. Awam ya 5 benki 3 zilifungwa awamu ya 4 benk 7 zilifungwa na katika awamu ya sita kwa miaka miwili benk 2 zimefungwaMbona Bank zilifungwa?
Sheria ya uchaguzi inaeleza bayana idadi ya wabunge wa viti maalumu wananyopatikana. Chama kilichopata alau 5% ya kura za rais kinapata wabunge wa viti maalum. Hii ni kw mjibu wa sheria. Soma sheria ya uchaguziAliiba uchaguzi kisha akaingiza wabunge 19 haramu bungeni ilikuwa shida.
Sheria hazikufanya kazi bali mamuzi ya mtu mmoja
Tatizo linaanza pale unapotaka kila mtu aamini unachokiaminiRamani ya kutengwa kimatofa
NCHI INGEKUWA IMEFILISIKA KABISAKipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu.