Hivi Hayati Magufuli angekuwa hai hali ingekuwaje mpaka sasa

-Zimbabwe case huku akilaumu Mabeberu na Wazungu.

-Kila kitu kingesimama akisingizia kujenga Sgr na bwawa la Nyerere

-Hali ya Uchumi ingekuwa mbaya sana maana zile tozo zilizomletea shida Samia zilianzishwa na Mwendazake kwenye Bajeti ya 2021/2022 maana Bajeti ya Serikali huandaliwa Disemba na mungelipa maana ilikuwa ndio mwaka anaanza awamu ya pili baada ya uchaguzi.

-Kama kawaida Ajira zisingekuwepo Wala salary increase Wala kufuta uporaji ule wa Bodi ya Mikopo.

-Watu wa diploma msingepewa mikopo maana mlifujuzwa udom wakati wa special diploma.
-Hamuna mkulima angepata ruzuku ya Mbolea maana Jiwe angewajibu yeye hajaleta vita.
-Kila siku wimbo ungekuwa Sgr , standard gauge na mabeberu 😂😂😂😂😂

Kiufupi Hali ingekuwa very worse maana Jiwe alikuwa ni mjuzi wa kutumia ila hajui kutafuta pesa.
 
Mkuu umeua!! Magufuli alifeli pakubwa
 
Wewe ni kidagaa tu!

Kikubwa huku kitaa kila mtu anaona nani ni nani!
 
Nakuhakikishia Uchumi ungekuwa ume collapse kabisaaaa maana yule Jamaa alikuwa hajui chochote kuhusu Uchumi ila kukurupuka.

Pili income gap ingekuwa kubwa sana hasa Kwa Wanasiasa walipokuwa karibu nae wangekuwa matajiri kama walivyovuna wakati wake ila akina sie tungekoma.
 
SIMBA WA YUDAH.......!!
 
Hujui Bureau De Change zilikua zinafanya haram gani. Unaropoka tu.. hivyo viwanda vya chumvi kufungwa uliona chumvi ikipanda bei?…
Punguza ujinga.Sheria na taratibu za uendeshaji wa Bureau zipo,jiulize kwanini hazikufuatwa,kwanini fedha hazikwenda mfuko wa Serekali?.

Usipende kutetea ujinga wa wazi wazi.Unafikiri kwanini Serekali iliamua kuwarejeshea fedha wenyewe.
 
Chawa Pro Max….

Huku mtaani jina Magufuli linatajwa kila sekunde…litaje sasa jina la boss wako usikie hayo majibu yake...

Miaka mitano ya JPM bila mgao wa umeme….
 
Chawa Pro Max….

Huku mtaani jina Magufuli linatajwa kila sekunde…litaje sasa jina la boss wako usikie hayo majibu yake...

Miaka mitano ya JPM bila mgao wa umeme….
Labda kwenu ndio hakukuwa na mgao.

Pili kwani maisha ni umeme pekee? Wepi hao wanaotaka Hilo jina? Vipi Ajira?, biashara, Kilimo na mambo mengine?
 
Mungu anaipenda sana Tanzania ndo maana akamleta Mama Samia. Cha muhimu tuendelee kumwomba azidi kutuepusha na CHADEMA. Kila mtu aseme Amen
 
Chawa Pro Max….

Huku mtaani jina Magufuli linatajwa kila sekunde…litaje sasa jina la boss wako usikie hayo majibu yake...

Miaka mitano ya JPM bila mgao wa umeme….
Linaimbwa na wapumbavu kama ww.

Katika huo umeme unao sema haukuwa wa mgao unaweza kunitajia chanzo cha kuzalisha huo umeme chochote kilicho jengwa na jiwe?
 
Mungu anaipenda sana Tanzania ndo maana akamleta Mama Samia. Cha muhimu tuendelee kumwomba azidi kutuepusha na CHADEMA. Kila mtu aseme Amen
Mwendazake ni mzuri wa Kusimamia akiwa chini ya mtu ila sio kuwa Rais maana ni mtu wa tamper,kukurupuka,kiburi na majigambo achilia mbali propaganda na vitisho.

Kwenye area ya uchumi alikuwa zero brain kama Nyerere,they are good at spending ila poor kwenye kutafuta.
 
Labda kwenu ndio hakukuwa na mgao.

Pili kwani maisha ni umeme pekee? Wepi hao wanaotaka Hilo jina? Vipi Ajira?, biashara, Kilimo na mambo mengine?

Weka poll mtaani yenye picha ya mwamba na mwengine unaemtaka uone nani atapata tiki nyingi….

Ajira na mbwembwe zingine baki nazo wewe…poll itaongea
 
Linaimbwa na wapumbavu kama ww.

Katika huo umeme unao sema haukuwa wa mgao unaweza kunitajia chanzo cha kuzalisha huo umeme chochote kilicho jengwa na jiwe?

Unachekesha kweli….mtera alijenga boss wako?!
 
Watanganyika mna matatizo sana, siku mkiacha unafiki mtafika mbali sana.
 
Weka poll mtaani yenye picha ya mwamba na mwengine unaemtaka uone nani atapata tiki nyingi….

Ajira na mbwembwe zingine baki nazo wewe…poll itaongea
Tiki za mambo gani? Hata Nyerere aliwekaga poll ya chama Kimoja au Vyama vingi ila wapumbavu wengi walisema chama Kimoja akawapuuza.

Maskini wa mwili na akili anaelewa nini zaidi ya Yanga na Simba n kusubiria kuitwa mnyonge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…