ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
-Zimbabwe case huku akilaumu Mabeberu na Wazungu.Kipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu.
Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya efata nk.
Bureau de change zote biashara ikafa. Kila sehemu ilikuwa ni vilio tu.
Sasa angekuwa yupo hai mpaka Leo nchi ingekuwa inaomboleza daily kwa watu kufa ama kwa stress au kwa msongo wa mawazo mana biashara hakuna, ajira hakuna kila kituhakuna.
-Kila kitu kingesimama akisingizia kujenga Sgr na bwawa la Nyerere
-Hali ya Uchumi ingekuwa mbaya sana maana zile tozo zilizomletea shida Samia zilianzishwa na Mwendazake kwenye Bajeti ya 2021/2022 maana Bajeti ya Serikali huandaliwa Disemba na mungelipa maana ilikuwa ndio mwaka anaanza awamu ya pili baada ya uchaguzi.
-Kama kawaida Ajira zisingekuwepo Wala salary increase Wala kufuta uporaji ule wa Bodi ya Mikopo.
-Watu wa diploma msingepewa mikopo maana mlifujuzwa udom wakati wa special diploma.
-Hamuna mkulima angepata ruzuku ya Mbolea maana Jiwe angewajibu yeye hajaleta vita.
-Kila siku wimbo ungekuwa Sgr , standard gauge na mabeberu 😂😂😂😂😂
Kiufupi Hali ingekuwa very worse maana Jiwe alikuwa ni mjuzi wa kutumia ila hajui kutafuta pesa.