Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Ndio tunataka msibweteke nataka mke awe na moto uleule kama enzi za uchumba au ndoa ilipokuwa mpyaSababu mojawapo ya mwanaume kuchepuka mnasema ni mke kujisahau, kubweteka. Labda habituation vizuri au anastasia kwenye majukumu yake.
Mnaenda nje kujipooza.
Ila mume akijisahau mnataka mke mwema asimame kumuweka sawa.
Hapo ndo mnapofeli. Jitunze jiweke katika mwonekano mzuri wa kuvutia kupelekewa moto