Hivi hii hali ni kutaka tu wenyewe au kujisahau?

Hivi hii hali ni kutaka tu wenyewe au kujisahau?

Kwani wewe kwenye mishe zako si unaingiza pesa mnunulie zawadi.

Halafu wanaume huwa tunajihisi fahari sana wapenzi wetu wakitupa zawadi. Tunajivunia na huwa tunawasifu mbele za wanaume wenzetu.
Kumbe unaongelea zawadi? Sasa nimekupata.. zawadi huwa tunatoa.sana tu...kama hujawahi kubahatika basi una mkosi.
Ila nguo zako nenda dukani kajinunulie mwenyewe uvae upendeze. Unavyompendezesha mkeo na wewe pendeza.
Nunua nguo zako mwenyewe au kama unataka akununulie mpe hela akakununulie.
 
Hapo sawa.

Hata tukienda wote kununua inapendeza zaidi uniambie ipi nzuri inanipendeza.

Jitahidii ujue size za mume wako na mikato anayopenda siku msurprise mnunulie atakufarahia sana sio lazima mpaka akupe hela ukamnunulie tumia hela yako
 
Wewe unayajua mambo ila aliyemuoa Demi kazi anayo 🤣🤣🤣
Unaweza ukampata anayejua mambo kama To yeye lakini ukamtenda balaa. Hamna shukrani nyie.
Aliyenioa mimi ana raha sana halafu namuogopa kinoma huwezi amini kuna upuuzi siwezi kufanya au kumwambia...lakini kuna uboya siwezi fanya ili kumridhisha yeye, hapana kwa kweli..
Tupendane baas...ujinga mwingine staki kusikia. Usiponipenda sikai hapo hata kwa wiki mbili. I need peace.
 
Kujisahau sometym majukumu ni mengi lakin nafikir mwanamke anatakiwa amzingatie mumewe Kwa kilakitu si mnasemaga ndio watotowenu wa kwanza
 
Mnavyosema tukiolewa tunajisahau unadhani nyie huwa hamjisahau?
Ni hali ya kawaida mkishazoeana haitakuwa kama mwanzo hata sisi tukienda kwa michepuko tunakuwa treated vizuri.
Weee!!?
 
Hapo sawa.

Hata tukienda wote kununua inapendeza zaidi uniambie ipi nzuri inanipendeza.

Jitahidii ujue size za mume wako na mikato anayopenda siku msurprise mnunulie atakufarahia sana sio lazima mpaka akupe hela ukamnunulie tumia hela yako
Sio kwamba huwa simnunulii zawadi. Hapa tulikuwa tunaongelea mavazi kwa ujumla..iweje uchakae halafu mke ndo alaumiwe?
Unafanya kazi unapata pesa kwanini usivae vizuri? Jinunulie nguo zako, kama ni zawadi ipo siku utapewa.
 
Unaweza ukampata anayejua mambo kama To yeye lakini ukamtenda balaa. Hamna shukrani nyie.
Aliyenioa mimi ana raha sana halafu namuogopa kinoma huwezi amini kuna upuuzi siwezi kufanya au kumwambia...lakini kuna uboya siwezi fanya ili kumridhisha yeye, hapana kwa kweli..
Tupendane baas...ujinga mwingine staki kusikia. Usiponipenda sikai hapo hata kwa wiki mbili. I need peace.
Hamna bana ni wanaume wachache ndo hawana shukrani.

Sisi wanaume tunaweza kufanya ujinga wote huko lakini tukifika kwa wake zetu na familia zetu tunakuwa serious sana.

Mke atatunzwa vizuri na watoto hata kama nina mchepuko my family comes first
 
Lini uliwahi kuwa na mke?
Unaongea nadharia tu hapa wewe baki na kataa ndoa yako. Huku kwingine hupawezi
 
Hapo sawa.

Hata tukienda wote kununua inapendeza zaidi uniambie ipi nzuri inanipendeza.

Jitahidii ujue size za mume wako na mikato anayopenda siku msurprise mnunulie atakufarahia sana sio lazima mpaka akupe hela ukamnunulie tumia hela yako
Inapendeza sana ila Kwa mume sio Hawa Cha wote 😀😀
 
Hivi hii hali ni kutaka tu au kujisahau? Yaan kitendo Cha mwanaume kuoa tu basi na kuvaa nguo Kwa kubadilisha kunaishia hapo full shati Moja au matatu, kazini, nyumbani na la kanisani.

Kumkuta mwanaume ameoa lakini kavaa kiatu Cha ngozi kimeachama kidogo ni kawaida sana.

Mtazame mkewe sasa, mpaka nguo zingine inabidi atupe tu maana ni Kila Leo kushona mpya, hakuna sherehe haimpiti kushonea nguo. Tuwe tunakumbuka hata kuwashonea au kuwanunulia mashati waume zetu wamama wenzangu, yaani kilekile kidogo anachokupea upendeze, kigawanyishe mpendeze wote labda kama wanataka wao wenyewe kuwa hivo.

Wababa, tunajua mnatingwa sana kututafutia lakini jikumbukeni pia tafadhali, mbaya sana kuonekana ulikuwa mnene sana kabla hujaoa mnawatukania wake zenu ivo kuwa hawawatunzi vyema.

Ndo hivo.
How nice of you
 
Nguo zile zile hadi ukiwa mbali tunajua tu, yule anayekuja ni fulani😀 sawa
Mark Zuckerberg anamiliki Facebook na instagram lakini yeye aliamua awe ananunua na kuvaa t-shirt za aina moja kila siku ili asubuhi asipoteze muda mwingi kuchagua nguo ya kuvaa, kwhyo kila siku anaonekana hajabadilisha t-shirt had watu wamemkariri ila hajali ye anaangalia mambo yake muhimu.

Wanaume wengi tunakuaga hivyo mwenye nguo nyingi ana shati/t-shirt 4, suruali 4, na viatu pea 3, unachotakiwa kuzingatia ni rangi ya nguo tu usipende nguo zinazo waka sana ukawa unaonekana kwa mbali Kama demu, shati 1 isipochafuka unavaa leo na kesho yaani siku mbili hapo maana yake wiki nzima inaisha hujaonekana na nguo moja mara nyingi

Kiatu kisipochafuka Kama we ni sharobaro unavaa siku 3 Kama ni mgumu mwenzetu unavaa wiki 1, ukirudi pale kwenye nguo kila ukibadilisha unafua usirundike nguo ndani, alaf wiki inayokuja unabadilisha suruali uliyo ivalia t-shirt flan wiki iliyopita unaibadilishia t-shirt, yaani hapo unamaliza mwaka mmoja hakuna anae kukariri kwa mavazi.

Mwanaume kuwa na nguo nyingi sana ni dalili ya kuleft group
 
Back
Top Bottom