Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,918
- 13,885
Lazma ukatae ila walioko kwenye ndoa wanajua. Ninyi mkiisha olewa huwa mnajisahau manahisi kumpeti peti bwana na kumkarim anapotoka kwenye miangaiko ni umalaya.😳Uongoo
Chunguza wanandoa wengi huwa wanapokeana kwa kuambiana "umekuja?" Hapo hakuna kumbatio, hakuna kiss za kuondoa uchovu zaid atakutengea maji ya kuoga na chakula , ila nenda kwa mchepuko sasa 😂😂😂😂