Hivi hii hali ni kutaka tu wenyewe au kujisahau?

Hivi hii hali ni kutaka tu wenyewe au kujisahau?

Ni wanawake tu ndo huwa wanalazimisha wanaume tuvae nguo moja siku moja lakin si wenyewe wala hata hatupendi angalau kuvaa siku mbili ndo tunaona raha
Wewe,siyo wanaume wote
 
Hamna bana ni wanaume wachache ndo hawana shukrani.

Sisi wanaume tunaweza kufanya ujinga wote huko lakini tukifika kwa wake zetu na familia zetu tunakuwa serious sana.

Mke atatunzwa vizuri na watoto hata kama nina mchepuko my family comes first
Kabisa.. family first
 
Mke wangu ananitunza sana sema mi mwenyewe tu situnziki. Akichelewa kuniandalia nguo za kuvaa anakuta tayari nimeshavaa shati la makunyanzi na Wala sijali hata kama anaumia Sana nikiwa shaghala baghala
Maskini
 
Dunia hii usipojipenda hakuna wa kukupenda, though kwangu ni tofauti. My love ananinunulia sana tu, nixe shirts, cadets..tena za viwango, hataki nionekane "mchimba migodi"!!

Ukioa mtu mbinafsi, hata ukimpa hela akafanye shopping, hata boksa yako tu hatanunua, wakati hela ya shopping umempa wewe.
 
Back
Top Bottom