Hivi hii hali ni kutaka tu wenyewe au kujisahau?

Sababu mojawapo ya mwanaume kuchepuka mnasema ni mke kujisahau, kubweteka. Labda habituation vizuri au anastasia kwenye majukumu yake.
Mnaenda nje kujipooza.

Ila mume akijisahau mnataka mke mwema asimame kumuweka sawa.
Ndio tunataka msibweteke nataka mke awe na moto uleule kama enzi za uchumba au ndoa ilipokuwa mpya

Hapo ndo mnapofeli. Jitunze jiweke katika mwonekano mzuri wa kuvutia kupelekewa moto
 
Hivi sijajua kwa nini wanawake mnakuwa wakali sana tukisema hatuoi.

Yaani tusioataka kuoa mnatuchukia sana

Shida ni nini kwani?
Hakuna anayekuwa mkali rafiki yangu. Wewe ndo umesema huoi lakini wengine wanaoa. Na pia wapo wanawake wanaokataa ndoa.

Na wala hatuwachukii kwasababu ndoa sio kwa kila mtu, ni kipaji ujue.
 
Ni nadra sana siku hizi kukuta mwanamke analalamika...hata hapa jf nyuzi nyingi ni mwanaume analia. Sasa hapo jibu unalo nani anateseka zaidi.

Wanawake wamekuwa sugu, maisha yanaenda vizuri. Ni suala la muda mtazoea..poleni
Jf wanawake wa hapa ni watu wa makamu Sana , na wengi ni single mothers ndoa zimewashinda miaka miaka Mingi na unaweza kuangalia hata umri wako hukosi 40+
 
Ni nadra sana siku hizi kukuta mwanamke analalamika...hata hapa jf nyuzi nyingi ni mwanaume analia. Sasa hapo jibu unalo nani anateseka zaidi.

Wanawake wamekuwa sugu, maisha yanaenda vizuri. Ni suala la muda mtazoea..poleni
Ukatili wenu umepitiliza mpaka nafsi haziwasuti sasa
 
Wapo sana mbona wanaojua kuwa mwanaume ni kazi ya kumlipa mtu asiekudaiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™Œ

Hao washamba wa mbususu tu madomo zege. Wengine ni mwendo wa barter trade toa kitu weka kitu
 
Ndio tunataka msibweteke nataka mke awe na moto uleule kama enzi za uchumba au ndoa ilipokuwa mpya

Hapo ndo mnapofeli. Jitunze jiweke katika mwonekano mzuri wa kuvutia kupelekewa moto
Wewe ushindwe kuwa na moto ule ule utegemee yeye awe na moto ule ule inawezekana vipi?

Majukumu hufanya watu kubadilika sasa hapo akili yenu ndo itafanya msichokane. Kuna mambo ya kuspice up ndoa yenu, msipofanya lazima mboane tu.
 
Kwa jina lingne wanaitwa kausha damu(wanawake kwenye ndoa)
 
Wewe ushindwe kuwa na moto ule ule utegemee yeye awe na moto ule ule inawezekana vipi?

Majukumu hufanya watu kubadilika sasa hapo akili yenu ndo itafanya msichokane. Kuna mambo ya kuspice up ndoa yenu, msipofanya lazima mboane tu.
Nimeexperience hii kitu mkishaolewa huwa mnabadilika sana mnakuwa sio watu wa shoo shooo tena

Na ndio mnachangia tuwe kimoja chali mnakuwa gogo tu ushirikiano zero
 
Nimeexperience hii kitu mkishaolewa huwa mnabadilika sana mnakuwa sio watu wa shoo shooo tena

Na ndio mnachangia tuwe kimoja chali mnakuwa gogo tu ushirikiano zero
Sho shoo zinatoka wapi nalea watoto na mambo mengine? Haitakuwa kama mwanzo hata wewe utabadilika lazima maana majukumu yatakuzidi...huwezi elewa hii kitu.
Tumia akili kuweka ndoa yako sawa na msisimko uwepo. Sio kazi ya mke peke yake na hapo ndo mnapofeli.
Ukikataa ndoa nakuelewa rafiki yangu...kuna mambo huyawezi. Wewe endelea na ubachela huko kwingine waachie wanaoweza na walio na akili ya kuongoza familia.
 
Ukikataa ndoa nakuelewa rafiki yangu...kuna mambo huyawezi. Wewe endelea na ubachela huko kwingine waachie wanaoweza na walio na akili ya kuongoza familia zao.
Kwa hiyo mimi sina akili ya kuongoza familia daaah! πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Akili ulizonazo ni za kuchakata mbusususu basiπŸ˜…πŸ˜….
Huna mpango wa kuwa na familia na unaona kila kitu kwenye ndoa hakipo sawa means akili yako haikubali ndoa.
Na kweli nioe halafu mbususu nianze kupangiwa kupewa kama wanetu walio kwenye ndoa. Hapo ndoa itanishinda tu 🀣
 
Ni wanawake tu ndo huwa wanalazimisha wanaume tuvae nguo moja siku moja lakin sisi wenyewe wala hata hatupendi angalau kuvaa siku mbili ndo tunaona raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…