Hivi hii hali ni kutaka tu wenyewe au kujisahau?

Huyo ni Narcissist mkuu

Tapeli mkubwa sana hajali kabisa kuhusu wewe
 
Mwanamke asipomhimiza mwanaume ajipende kwa kununua nguo nzuri au mwanamke ajitoe amnunulie aisee Wanaume waliooa utajikutaa unavaa nguo Mpauko kwa kujirudiaa miakaa nenda rudiii... Sababu ni MAJUKUMU yani unapanga kabisa hela ninunue kadet na mashati aisee siku uliyopata mshahara pitiliza kununuaa Ukisema utanunua hela ikibaki baada ya matumizi ndo imeishaa hiyoo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
😂😂😂Mnahatari sana nyinyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…