Hivi hii hali ni kutaka tu wenyewe au kujisahau?

Bora ulivowashushua Hawa viumbe wamejisahau Plus ubinafsi
 
sis, umeongea kwa uchunguuu!
Brother! nipe tu pole... Naweza kuandika makala kabisa ya gazeti iende mwananchi kwa observation nilizofanya katika hili!

Unahangaika huku na kule, kumtafutia mtu kazi au kazi nzuri zaidi ya aliyonayo, unaongea na huyu na yule mpaka kuna muda you goes out of your way for the betterment of your brother, mambo yakitiki tu unamwambia i did this for good sitaki hata mia yako sababu atleast najimudu, na hata nikikwama nina wakunikwamua..... So, go do better for your family na uwe mwanaume kweli kweli!

Siku zinapita unasikia kuwa mifereji yote ya pesa imeshikiliwa na mzee mama! πŸ˜‚πŸ˜‚ Mapenzi ni mapenzi, huwezi jua wakiwa uchi kitandani wanaambizana nini, naelewa kabisa, ila je haitoshi mwanaume kukupenda, kukuhudumia, kuhudumia familia yake hadi wewe ucontrol pesa zake? na yeye uwe unampa pesa ya matumizi tu au nauli na mafuta ya gari tu!!? 🀣 Sijui hata wanaambizanaga nini masikini!

Basi bwana unaacha mambo ya watu! Ila ndio hivyo sikomi nikiona mchongo mzuri mtu wa kwanza kumuwazia ni ndugu yangu! πŸ˜…
 
Hivi haiwezekani kuwaachanisha?
 
Hao kaka zako wameshikika kweli kweli, kuna ile kauli mnasemaga kwako hafurukuti umemuweka kiganjani. Ndio type za mawifi zako hizo. Mungu aniepushie mbali aina hiyo ya wanawake maana nitakufa kabla ya siku zangu.
 
Hahaha..
Bi dada anakaba kooote!

Si wanasemaga kuna kitu wanaita Limbuata?!
 
endelea kuwa na moyo huo, ila hao mawifi zako huenda hawana kazi/b'shara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…