Congressman
JF-Expert Member
- Jun 2, 2020
- 781
- 2,305
Hahahhaa dah nchi hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Are you serious?Nani ana thibitisha ametumia hela ya serikali?
Tulishaandika kule kwenye siasa kwamba hafaiKabla ya yote ninapenda michezo, ila hili lililotokea jana usiku ni si la dunia hii. Yaani waziri na katibu wake wametumia kabisa magari kutoka mbali, sijui Dodoma kuja mlimani city kufanya kitu kama hiki? Hapo watajaza na overtime kabisa walipwe.
Kweli nimeamini watanzania wengi wana tatizo la afya ya akili.
View attachment 2653536
Ohoooo.Usichukulie maisha serious?Hauoni waziri anakabidhi kombe la UEFA .Sijui UEFA ya wapi?😂😂😂
Usichukulie Maisha serious kiasi hicho Mkuu.
Ushasema Waziri wa Michezo unategemea nini zaidi ya mambo hayo. Michezo sio ishu serious. Ipo kwaajili ya burudani tuu.
Ohoooo.Usichukulie maisha serious?Hauoni waziri anakabidhi kombe la UEFA .Sijui UEFA ya wapi?
Halafu wababa wazima wakaenda tengeneza kombe la UEFA, bongo jamani.
Faida ya mwarabu imeonekana, man city tangia imeanzishwa leo ni miaka mia na ushee haijawahi kuchukua hilo kombe lakini ndani ya miaka isiyozidi kumi ya utawala wa mwarabu wamebeba ndoo ya ulayaJamani kombe la fiction.
Dah!!! Umewaza mbali Sana mkuuInawezekana Tanzania ndio Chanel ya vichekesho Mbinguni
Sio mbinguni ni Duniani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inawezekana Tanzania ndio Chanel ya vichekesho Mbinguni
🤣🤣🤣 kabisaSio mbinguni ni Duniani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waarabu wana badilisha Chanel wanavyotakaaa