Hivi hii nchi nani katuroga? Waziri wa michezo kutumia rasilimali za Serikali kukabidhi kombe garasa kwa mashabiki wa Man City Tanzania

Hivi hii nchi nani katuroga? Waziri wa michezo kutumia rasilimali za Serikali kukabidhi kombe garasa kwa mashabiki wa Man City Tanzania

Kabla ya yote ninapenda michezo, ila hili lililotokea jana usiku ni si la dunia hii. Yaani waziri na katibu wake wametumia kabisa magari kutoka mbali, sijui Dodoma kuja mlimani city kufanya kitu kama hiki? Hapo watajaza na overtime kabisa walipwe.

Kweli nimeamini watanzania wengi wana tatizo la afya ya akili.

View attachment 2653536
Tulishaandika kule kwenye siasa kwamba hafai
 
Hii haina tofauti na lile tukio la mwaka jana kwenye daraja la Tanzanite. Ni mambo ya kusikitisha sana. Tunashindwa kubrand vya kwetu tunatumia nguvu kubwa kutangaza vya wengine.
 
" Kumind vitu vidogo vidogo ni dalili huenda una akili sana au hauna akili kabisa "
 
Inawezekana Tanzania ndio Chanel ya vichekesho Mbinguni
Sio mbinguni ni Duniani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Waarabu wana badilisha Chanel wanavyotakaaa
 
Back
Top Bottom