Hivi hii nchi nani katuroga? Waziri wa michezo kutumia rasilimali za Serikali kukabidhi kombe garasa kwa mashabiki wa Man City Tanzania

Tulishaandika kule kwenye siasa kwamba hafai
 
Hii haina tofauti na lile tukio la mwaka jana kwenye daraja la Tanzanite. Ni mambo ya kusikitisha sana. Tunashindwa kubrand vya kwetu tunatumia nguvu kubwa kutangaza vya wengine.
 
" Kumind vitu vidogo vidogo ni dalili huenda una akili sana au hauna akili kabisa "
 
Inawezekana Tanzania ndio Chanel ya vichekesho Mbinguni
Sio mbinguni ni Duniani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Waarabu wana badilisha Chanel wanavyotakaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…