Hivi hii nchi nani katuroga? Waziri wa michezo kutumia rasilimali za Serikali kukabidhi kombe garasa kwa mashabiki wa Man City Tanzania

Hivi hii nchi nani katuroga? Waziri wa michezo kutumia rasilimali za Serikali kukabidhi kombe garasa kwa mashabiki wa Man City Tanzania

. Wawekezaji wanakimbia daily wa nje na ndani nchi ikabaki biashara ni ngumu na ukumbuke watu walikuwa wanapoteza ajira daily ndo ikazalisha mass unemployment tunayoiona Leo

Madudu ya yule bwana ni mengi mno natumia
Hayawihayawi sasa wawekezaji haoooo kmmk 🧔🧔🧔🧔 bandari hiyooo, bagamoyo hiyooo

Sijui tumlaumu nani sasa, 😂😂
 
Back
Top Bottom