Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Kuna hii tendency umemtokea demu, au labda yeye ndo katokea kukupa sign kabisa... Labda uko zako restruant unapata zako msosi then anakuwa anakupa jicho flan hivi mischievous..
Then kama beberu usipofanya lolote unaonekana boya, haya basi unamtokea unachukua namba then unaanza process.
Ila, sasa kuna ka stage flani hivi huwa kana boa. The gape btn wewe continuous dates na kumtafuna. Inabidi uwe patient Buda, kuna resistance force ambayo actually huwa siyo ya msingi kabisa.
I've taken you out, umekula chakula, bado again unataka nianze zile tabia za kujikomba kwako. Wakuu hii stage inakata ndo maana tukipewa tunaichapa like kuikomoa. Why don't y'all make it smooth? .. Kama umeijua nia yangu ni kukula, kwanini isiwe wewe kuifanya hiyo process so smooth?
Kwa nini usiseme baby, naomba leo Twende tukalale hotelini.. Naona niko bored kurudi home.... Yaani mimi nikutongoze, mimi nikulishe, mimi nikulipie nauli na pia mimi huyu huyu niteseke kuimba wakati wajua fika kwanini tuko pamoja, wallahi wanawake hata kama ni sisi ndo wenye ugwadu, punguzeni hizi drama.
Ila bahati mbaya huwa tukisha wakula mnakuwa watumwa na sisi, we don't give a shit maana tumeshajua yaliyomo, ila kama ungenifanya nikala tunda bila shida, actually Ningekuwa more clinged na jinsi unavyo ni treat na ningeweka kambi ya kudumu.
Acheni michezo ya kukimbizana kama kuku.