Hivi hii psychology ya wanawake kuplay hard to get, nani huwafundisha?

Hivi hii psychology ya wanawake kuplay hard to get, nani huwafundisha?

Tatizo mtoa mada uliacha biology mapema ilo hivi kwa mnyama jike yoyote "Playing hard to get" ni natural method ya kumfanya dume awekeze nguvu na muda ili kufanya mate screening. Dume anayevumilia na kuonyesha juhudi anathibitisha kuwa ana genes bora, afya njema, na uwezo wa kulinda na kulea.

Hii tabia tayari iko wired ndani ya psychology ya wanawake, hata kama kwa wakati huo lengo la sasa si kuzaa watoto.

Inakera lakini ndio sexual selction hiyo, biology ya form 4 kabisa😅. Tena kwa sisi binadamu imerahisishwa ukiwa na hela una bypass hio screening lakini wanyama wengine hadi wapigane hadi kifo.
Wewe kama tayari nimekutongoza na nikafanikiwa swala na kuku lay down si tena la kuanza pilika pilika.

Ofcourse na elewa, biologically ni lazima nihangaike kumpata ila ukisha kubaki means wewe ni mliwa tayari so unless unajiendekeza tuu.
 
Hata hao "safe women" nao wanapelekewa moto tuu.
ila siyo na malofa... thats my point. unadhani mtu wa kawaida lofa lofa tu ni rahisi kumla Paula au Nifa? No. mimi nisichotaka ni ku share ile kitu na walevi, wapumbavu, irresponsible na kila aina ya watu wa hovyo.
 
Ni cycle yako inakukutanisha na wa hivyo bwashee, hauwezi kuwa simba ukamingo na paka kwenye viwanja vinavyofanana.

Ushauri wangu ni wewe ubadili vipaumbele vyako tu bwashee
Am not a person who likes malaya.
What cycle are you talking about
 
Labda uko zako restruant unapata zako msosi then anakuwa anakupa jicho flan hivi mischievous..
Oya kuna sister mmoja kila nikipishana nae ananiangalia jicho fulani hivi machachari sana halafu ana mume na mtoto mmoja, sijawahi kumuelewa halafu dizaini km namuelewa na kumuheshimu sana ile ki-sista ila siku akijimaliza nampapatua sitoangalia ana mume wala ana mtoto kwanza na yale matako makubwa kudadek fanalek naomba nisamehewe kabla
 
ila siyo na malofa... thats my point. unadhani mtu wa kawaida lofa lofa tu ni rahisi kumla Paula au Nifa? No. mimi nisichotaka ni ku share ile kitu na walevi, wapumbavu, irresponsible na kila aina ya watu wa hovyo.
Ok, ilibidi Usi engage nao on the first place sasa
 
Oya kuna sister mmoja kila nikipishana nae ananiangalia jicho fulani hivi machachari sana halafu ana mume na mtoto mmoja, sijawahi kumuelewa halafu dizaini km namuelewa na kumuheshimu sana ile ki-sista ila siku akijimaliza nampapatua sitoangalia ana mume wala ana mtoto kwanza na yale matako makubwa kudadek fanalek naomba nisamehewe kabla
Hata mimi imenikuta sana, asee huwa wanashugulika kisawasawa.
 
ila siyo na malofa... thats my point. unadhani mtu wa kawaida lofa lofa tu ni rahisi kumla Paula au Nifa? No. mimi nisichotaka ni ku share ile kitu na walevi, wapumbavu, irresponsible na kila aina ya watu wa hovyo.
Niffer una maanisha huyu jenifa muganyizi muuza vipodozi👇 au huyu wa jamiiforums Nifah ?
Screenshot_2026-07-05_101618.jpg
 
Ukitaka urahisi wa hivyo nenda kawanunue wale wanaojiuza
Hakuna Mwanamke anayejitunza au mwenye maadili utamshika tu mkono ukamle🤣
Hiyo ni asili yao kuringa na kukusumbua kidogo hasa mabinti wa kiafrika
 
Sasa Kala hela zangu na bado alete usanii?
Mm naona huwa kama inakuwa wanakuwa ego tu
 
Back
Top Bottom