Hivi hii psychology ya wanawake kuplay hard to get, nani huwafundisha?

Mwanamke anakula anacho kihitaji, mwanamme atakula kitakacho patikana.

Point yangu ni kwamba wanawake wanaclass zao ko ukiona unazungushwa ujue wewe sio class yake amesha kufact out sema anaendelea kula pesa zako unazo jifanya unamuoneshea kua unazo 😄.

La msingi ni kutafta wa level zako, mtakae wezana na atakae play smooth for you to get 😎.

Mwanamke aliye interested anashow same effort .
 
Mkuu uunaongea nini? Mbona allinipa first impressions.
 
The only way to win the game is to dont play at all.
Tatizo umesha kua entertained na hizo endless unnecessary dramas ndomana anakuzingua.

Inabidi kama mwanamme uwe na lengo kwamba kufikia ijumaa nmesha timiza lengo langu, nje na hapo unaacha unaendelea na mambo yako mengine stay focused 😎
 
Mkuu hakuna ujanja kwenye nyege, unaplan zako na yeye ana hormonal imbalances zake za kukuchanganya tuu
 
hakuna kitu kibaya kama kuteseka na mapenzi huku hauna hela..ukiwa na vibunda hakuna kitu unakosa
 
HAST LA VISTA BABY!
:FeelsSadDitch::FeelsSadDitch::FeelsSadDitch::FeelsSadDitch::FeelsSadDitch::FeelsSadDitch::FeelsSadDitch:😅
Screenshot_20250706-142936.jpg
 
Mkuu hakuna ujanja kwenye nyege, unaplan zako na yeye ana hormonal imbalances zake za kukuchanganya tuu
Tatizo mkuu unacomplicate sana, komaa hapo hapo mpaka mwakani mwezi kama huu atakua tayar kukupa. 😎
 
Back
Top Bottom