Hivi hii psychology ya wanawake kuplay hard to get, nani huwafundisha?

bado unahitaji exposure zaidi

mimi nimekulia ndani mno... jamaa zangu nakumbuka walikuwa wajanja wajanja mno wanatoroka wanaenda hizo maeneo mara wanaenda kwenye hizi night clubs nk... so nimekuwa mtu mzima nikaomba wanipe direction ili nikajionee(kutafiti) kama waliyookuwa wanasema ni kweli au si kweli. nikajimkok nikaenda... full armed.
nb
sikulala na yeyote.. it wsnt my plan
Kwa hiyo mpk umri huu ulikua hujui malaya wakoje?

Alaf leo uje utembee na akina uwoya style tena wakati huna mawe?

Hebu acha kuchezea hiyo keyboard kijana
 
De Gunner, ninaelewa kabisa hisia zako za kukatishwa tamaa na ile 'stage' unayoizungumzia. Ni kweli, mambo ya mahusiano yanaweza kuwa na changamoto zake na wakati mwingine tunajikuta tunajiuliza maswali mengi, hasa pale tunapohisi tunafanya kila kitu bila kuona matokeo ya haraka.

Lakini labda tuangalie upande mwingine kidogo. Mara nyingi, suala la urafiki wa kimwili na intimacy ni zaidi ya 'kukula tunda' tu. Kwa wanawake wengi, inahitaji kujenga uaminifu, kujisikia salama, na kuwa na uhakika wa uhusiano kabla ya kufunguka kabisa. Hiyo 'resistance' unayoiona inaweza kuwa ni njia ya kutathmini kama kweli una nia ya dhati na heshima, na sio lazima iwe mchezo wa kukutesa.

Kila mtu ana kasi yake na viwango vyake vya faraja katika uhusiano. Badala ya kuona kama 'drama' au 'ugumu usio na maana', labda tuione kama fursa ya kujengana na kuelewana zaidi. Mahusiano mazuri hujengwa kwa uvumilivu, mawasiliano ya wazi, na heshima ya pande zote.

Kama kweli kuna nia ya dhati na heshima, hiyo 'process' inaweza kuwa safari nzuri ya kuelewana na kufurahiana, badala ya kuiona kama kikwazo cha kuvuka haraka. Tukijitahidi kuelewa mahitaji na hisia za mwenzetu, mambo yanaweza kuwa laini na yenye kuridhisha kwa wote wawili, na hata kujenga uhusiano imara zaidi kuliko ule wa 'kukomoa'.
 
mkuu, halafu si hao wanawake tu unaowaongelea, yaani mpaka malaya nao huwa wanafanya hivi... kuna uzi nilileta humu wa research isiyo rasmi... yaani hela unalipa, then napo chumbani anataka akupelekeshe kama mtumwa.... yaani ni kama unafanyiwa favor na hela umelipa... ni 'ungese' sana.
pole
 
De Gunner, ninaelewa kabisa hisia zako za kukatishwa tamaa na ile 'stage' unayoizungumzia. Ni kweli, mambo ya mahusiano yanaweza kuwa na changamoto zake na wakati mwingine tunajikuta tunajiuliza maswali mengi, hasa pale tunapohisi tunafanya kila kitu bila kuona matokeo ya haraka.

Lakini labda tuangalie upande mwingine kidogo. Mara nyingi, suala la urafiki wa kimwili na intimacy ni zaidi ya 'kukula tunda' tu. Kwa wanawake wengi, inahitaji kujenga uaminifu, kujisikia salama, na kuwa na uhakika wa uhusiano kabla ya kufunguka kabisa. Hiyo 'resistance' unayoiona inaweza kuwa ni njia ya kutathmini kama kweli una nia ya dhati na heshima, na sio lazima iwe mchezo wa kukutesa.

Kila mtu ana kasi yake na viwango vyake vya faraja katika uhusiano. Badala ya kuona kama 'drama' au 'ugumu usio na maana', labda tuione kama fursa ya kujengana na kuelewana zaidi. Mahusiano mazuri hujengwa kwa uvumilivu, mawasiliano ya wazi, na heshima ya pande zote.

Kama kweli kuna nia ya dhati na heshima, hiyo 'process' inaweza kuwa safari nzuri ya kuelewana na kufurahiana, badala ya kuiona kama kikwazo cha kuvuka haraka. Tukijitahidi kuelewa mahitaji na hisia za mwenzetu, mambo yanaweza kuwa laini na yenye kuridhisha kwa wote wawili, na hata kujenga uhusiano imara zaidi kuliko ule wa 'kukomoa'.
Asante sana. Nahisi sometimes hata wao pia wanafanya makusudi.
Ila Nitakuwa mvumilivu pia
 
Ukitaka urahisi wa hivyo nenda kawanunue wale wanaojiuza
Hakuna Mwanamke anayejitunza au mwenye maadili utamshika tu mkono ukamle🤣
Hiyo ni asili yao kuringa na kukusumbua kidogo hasa mabinti wa kiafrika
Shida ya wadada kuringa na kusumbua ni moja, wewe utazungushwa mwaka, mwanaume mwenzio ndani ya wiki 2 ashapewa papuchi sababu binti anaona huyo mwanaume ni handsome. Wewe unazungushwa sababu demu anaona una sura mbaya, na sio kwamba anataka akupime kama uko serious kweli.

Tena miaka ya sahivi mdada akikuzungusha mda mrefu anakueka mwanaume kwenye position ya kukutumia kwa manufaa yake, utapigwa vizinga, utampa attention, utamsaidia vijikazi..huku wewe hupati manufaa yoyote

Wanaume wengi siku hizi wamejanjaruka wakiambiwa no mara moja tu wanakimbia Kubwjing
 
Hahaha dah
 
Hahaha dah
Kwani uongo😁 huo ndo ukweli mchungu ambao wanaume wengi hawaujui, ni vile siku izi mitandao kwa kiasi flani inajanjarusha watu, ndo maana wadada wanalalamika wanaume siku izi hawatongozi mda mrefu kama zamani

Mdada akikuzungusha sana sijui miaka 2, mwanaume ukikaza unaeza mpata, tena ukamuoa kabisa ila ndo ivo unakua ni 2nd choice yake, alipopataka palikua hapaeleweki

Kuna ile playing hard to get ambayo ni asili ya ki kike iyo ni kawaida kabisa, ikizidi sana mwezi mmoja..tena playing hard to get yenyewe inakua smooth, mwanaume unahisi sio kama unag'oa jino, ndani ya mwezi 1 mdada ashakua wako, ila mtu anazungusha sijui miezi na miezi, mara hapokei simu zako, mara hakujibu meseji, mara akujibu vibaya, mara vizinga ujue hamna kitu hapo

de Gunner
 
Sure thing,
Ichukue week2 hasa hasa kabla sijamlay down. Na hapo kuwe na consistency ila akionesha redflag tu. I will snap out of it
 
Sijui mambo hayo kwa kweli, mie nina laazizi wangu mmoja tu ambaye sina mbambamba naye ☺️ Mungu anitunzie utamu wangu!

Kwa wote mliobaki, starehe yangu ni kuona mnateseka 😎
Ndo maana mwanike ilelo nakuchoraga noi ule kimya duhu, kumbe ulina ngoshi oko?
 
Back
Top Bottom