mkuu, halafu si hao wanawake tu unaowaongelea, yaani mpaka malaya nao huwa wanafanya hivi... kuna uzi nilileta humu wa research isiyo rasmi... yaani hela unalipa, then napo chumbani anataka akupelekeshe kama mtumwa.... yaani ni kama unafanyiwa favor na hela umelipa... ni 'ungese' sana.Kuna hii tendency umemtokea demu, au labda yeye ndo katokea kukupa sign kabisa... Labda uko zako restruant unapata zako msosi then anakuwa anakupa jicho flan hivi mischievous..
Then kama beberu usipofanya lolote unaonekana boya, haya basi unamtokea unachukua namba then unaanza process.
Ila, sasa kuna ka stage flani hivi huwa kana boa. The gape btn wewe continuous dates na kumtafuna. Inabidi uwe patient Buda, kuna resistance force ambayo actually huwa siyo ya msingi kabisa.
I've taken you out, umekula chakula, bado again unataka nianze zile tabia za kujikomba kwako. Wakuu hii stage inakata ndo maana tukipewa tunaichapa like kuikomoa. Why don't y'all make it smooth? .. Kama umeijua nia yangu ni kukula, kwanini isiwe wewe kuifanya hiyo process so smooth?
Kwa nini usiseme baby, naomba leo Twende tukalale hotelini.. Naona niko bored kurudi home.... Yaani mimi nikutongoze, mimi nikulishe, mimi nikulipie nauli na pia mimi huyu huyu niteseke kuimba wakati wajua fika kwanini tuko pamoja, wallahi wanawake hata kama ni sisi ndo wenye ugwadu, punguzeni hizi drama.
Ila bahati mbaya huwa tukisha wakula mnakuwa watumwa na sisi, we don't give a shit maana tumeshajua yaliyomo, ila kama ungenifanya nikala tunda bila shida, actually Ningekuwa more clinged na jinsi unavyo ni treat na ningeweka kambi ya kudumu.
Acheni michezo ya kukimbizana kama kuku.
Umenyimwa
Ushawahi kuiona hii hapa kabisa na usipewe!View attachment 3622827
Hahaha mkuu, mpaka malaya anakufanyia hivyo? Basi wamefikia pabaya, huyo anatakiwa awe more kwenye kukufanya upige goli haharaka na dau liweze kupanda, sasa hicho anachofanya hajui wateja wanakimbia bila yeye kujuamkuu, halafu si hao wanawake tu unaowaongelea, yaani mpaka malaya nao huwa wanafanya hivi... kuna uzi nilileta humu wa research isiyo rasmi... yaani hela unalipa, then napo chumbani anataka akupelekeshe kama mtumwa.... yaani ni kama unafanyiwa favor na hela umelipa... ni 'ungese' sana.
Na anajua kabisa amejiuza umemuokota kwenye fungu la Dagaamkuu, halafu si hao wanawake tu unaowaongelea, yaani mpaka malaya nao huwa wanafanya hivi... kuna uzi nilileta humu wa research isiyo rasmi... yaani hela unalipa, then napo chumbani anataka akupelekeshe kama mtumwa.... yaani ni kama unafanyiwa favor na hela umelipa... ni 'ungese' sana.
yeah nilikuwa nataka kuhakikisha kama ni kweli.. nilikuwa na hela plus muda wa kuchezea of course... ila sikuwahi na sitawahi ku do na malaya.. it was just a researchHahaha mkuu, mpaka malaya anakufanyia hivyo? Basi wamefikia pabaya, huyo anatakiwa awe more kwenye kukufanya upige goli haharaka na dau liweze kupanda, sasa hicho anachofanya hajui wateja wanakimbia bila yeye kujua
Mkuu unajribishiaje malaya na hela unazoo? Matumizi mabaya, hayoo. Sasa kama ni hivyo labda ulimpa impression kuwa hutaki kula beforeyeah nilikuwa nataka kuhakikisha kama ni kweli.. nilikuwa na hela plus muda wa kuchezea of course... ila sikuwahi na sitawahi ku do na malaya.. it was just a research
no sikumuambia hataMkuu unajribishiaje malaya na hela unazoo? Matumizi mabaya, hayoo. Sasa kama ni hivyo labda ulimpa impression kuwa hutaki kula before
Ok, sasa nimeelewa kwa nini ulinizungusha sana kipindi kile hadi nikakereka!Tatizo mtoa mada uliacha biology mapema ilo hivi kwa mnyama jike yoyote "Playing hard to get" ni natural method ya kumfanya dume awekeze nguvu na muda ili kufanya mate screening. Dume anayevumilia na kuonyesha juhudi anathibitisha kuwa ana genes bora, afya njema, na uwezo wa kulinda na kulea.
Hii tabia tayari iko wired ndani ya psychology ya wanawake, hata kama kwa wakati huo lengo la sasa si kuzaa watoto.
Inakera lakini ndio sexual selction hiyo, biology ya form 4 kabisa😅. Tena kwa sisi binadamu imerahisishwa ukiwa na hela una bypass hio screening lakini wanyama wengine hadi wapigane hadi kifo.
Nikisema ukweli unaanza kuniona nataka kukula tu, so nakuwa tayari nimepunguza pointJitahidini pia kunyooka kwamba mnataka uchi,siyo mambo ya ninataka kukuoa.Nyakati zimebadilika….kuna mabinti wanataka onenight stand.Siyo hizo scam things.