Hivi hii tabia kwamba ukila dagaa au bamia wewe ni maskini inatoka wapi?

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Wakuu habari,

Kuna hili jambo linanitatiza na kunikasirisha sana, hivi hii dhana ya kwamba ukila bamia au dagaa wewe ni Masikini ilianzia wapi na inatokea wapi?

Yaani mimi niangaike kutafuta hela ninunue mboga ninyoipenda alafu mtu mwingine na fikra zake duni ahoji uwezo wangu wa maisha

Kwanza kuna dagaa nyama, dagaa mchele, dagaa wa Kigoma yaani unapika utakavyo iwe roast, kavu au mchuzi na kiafya dagaa ni chakula kinachosaidia kuongeza madini ya chuma aina ya kalsiamu na protini

Bamia pia ni mboga nzuri sana yenye virutubisho nyingi kwa Afya, sasa endeleeni kula pizzza na kubeza hivi vyakula

Dagaa na bamia unaweza kulia vyakula vingi tu hata ukiandaa roast yake mix

1755159629776.png

1755159840775.png

1755159967536.png
 
Nalipenda dagaa Ila sio Kila siku hasa dagaa wa Zanzibar, na mwanza Ila Kuna wa Kanda hiyo hiyo sjui ni wa geita musoma ama bukoba wachungu duuh,,

Dagaa waandaliwe vzr aani, ugali plus pilipili na maji ya baridii na mboga za majani..... Aaaaah dagaa mtamu bhn 😂 😂
 
Nachojua vyakula vinavyojenga mwili huwa vinadhauriliwa sana na masikini.

Masikini tunaamini kula vizuri ni kula Chips , soda , pilau nyama n.k na sio dagaa wala maharage japo kuna ukweli Fulani Kati ya umasikini na dagaa
 
Nikisindikizia Na Mtindi Bariidii Kwa Upande Wangu Inakuwanga Shokpaaa Mnoo
 
Nachojua vyakula vinavyojenga mwili huwa vinadhauriliwa sana na masikini.

Masikini tunaamini kula vizuri ni kula Chips , soda , pilau nyama n.k na sio dagaa wala maharage japo kuna ukweli Fulani Kati ya umasikini na dagaa
Kwa sasa hamna chakula sikipendi na nikila najilaumu kama chips , soda nayo nimeacha kwa muda na sijutii kabisa
 
Wakuu habari,

Kuna hili jambo linanitatiza na kunikasirisha sana, hivi hii dhana ya kwamba ukila bamia au dagaa wewe ni Masikini ilianzia wapi na inatokea wapi?

Yaani mimi niangaike kutafuta hela ninunue mboga ninyoipenda alafu mtu mwingine na fikra zake duni ahoji uwezo wangu wa maisha

Kwanza kuna dagaa nyama, dagaa mchele, dagaa wa Kigoma yaani unapika utakavyo iwe roast, kavu au mchuzi na kiafya dagaa ni chakula kinachosaidia kuongeza madini ya chuma aina ya kalsiamu na protini

Bamia pia ni mboga nzuri sana yenye virutubisho nyingi kwa Afya, sasa endeleeni kula pizzza na kubeza hivi vyakula

Dagaa na bamia unaweza kulia vyakula vingi tu hata ukiandaa roast yake mix

Hiyo tabia inatoka kwa haohao wanaokula bamia na dagaa ndio wenye fikra hizo,,,ukiwa na pesa utakula kile unachokipenda,,na usipokua nazo unakula kile kinachopatikana.
 
Wakuu habari,

Kuna hili jambo linanitatiza na kunikasirisha sana, hivi hii dhana ya kwamba ukila bamia au dagaa wewe ni Masikini ilianzia wapi na inatokea wapi?

Yaani mimi niangaike kutafuta hela ninunue mboga ninyoipenda alafu mtu mwingine na fikra zake duni ahoji uwezo wangu wa maisha

Kwanza kuna dagaa nyama, dagaa mchele, dagaa wa Kigoma yaani unapika utakavyo iwe roast, kavu au mchuzi na kiafya dagaa ni chakula kinachosaidia kuongeza madini ya chuma aina ya kalsiamu na protini

Bamia pia ni mboga nzuri sana yenye virutubisho nyingi kwa Afya, sasa endeleeni kula pizzza na kubeza hivi vyakula

Dagaa na bamia unaweza kulia vyakula vingi tu hata ukiandaa roast yake mix

Hii tabia inakuja kwa sababu kule ulaya fresh food kama matunda na mboga zinaliwa na matajiri wakati masikini wanakula junk food kama mikate na madude the likes of pizza au na supermarket.
Huku nchi za Africa, matajiri wanakula mavitu ya KFC huku masikini wanakula bamia na mnavu mixer dagaa.
Kwahiyo shida ni mindset.
 
Ndo maana wenye hela wanaumwa magonjwa ya ajabu ajabu, coz wananunua magonjwa wenyewe

Ukiwa na hela, hata kuku utataka wa supermarket, ambaye amekaa kwenye friji mwezi mzima, badala ya kwenda soko mjinga kupata kitu fresh kabisa, unachagua then unachinjwa, ukiwa na hela utataka kuku wa south au Brazil.

Ukiwa na hela, utakunywa bia yenye Jina kubwa na kilevi kikubwa badala ya kunywa hizi za bei chini, zenye kilevi wastani

Ukiwa na hela, hutaki hata vitaminD vya bure kupitia jua hutaki.

Kwa kifupi, hela zinaharakisha kifo (kwa kujitakia) kuliko vice versa
 
Back
Top Bottom