Hivi hii tabia kwamba ukila dagaa au bamia wewe ni maskini inatoka wapi?

Wakuu habari,

Kuna hili jambo linanitatiza na kunikasirisha sana, hivi hii dhana ya kwamba ukila bamia au dagaa wewe ni Masikini ilianzia wapi na inatokea wapi?

Yaani mimi niangaike kutafuta hela ninunue mboga ninyoipenda alafu mtu mwingine na fikra zake duni ahoji uwezo wangu wa maisha

Kwanza kuna dagaa nyama, dagaa mchele, dagaa wa Kigoma yaani unapika utakavyo iwe roast, kavu au mchuzi na kiafya dagaa ni chakula kinachosaidia kuongeza madini ya chuma aina ya kalsiamu na protini

Bamia pia ni mboga nzuri sana yenye virutubisho nyingi kwa Afya, sasa endeleeni kula pizzza na kubeza hivi vyakula

Dagaa na bamia unaweza kulia vyakula vingi tu hata ukiandaa roast yake mix

Misumarii nili kulaga sana getto enzi izooo.

Binafsi sipendi dagaa Wala maharagwe
 
Mimi kitu chochote ambacho hakiuzwi sehemu za starehe ni kitu cha kimasikini ,nadhani na dagaa inaweza kuwa japo sina uhakika maana sijanywa vilabuni muda mrefu
 
Kwa hiyo kuku broiler ni wa kitajiri sana? Maana huko bar ndio kuku wenu pendwa...
 
Wakuu habari,

Kuna hili jambo linanitatiza na kunikasirisha sana, hivi hii dhana ya kwamba ukila bamia au dagaa wewe ni Masikini ilianzia wapi na inatokea wapi?

Yaani mimi niangaike kutafuta hela ninunue mboga ninyoipenda alafu mtu mwingine na fikra zake duni ahoji uwezo wangu wa maisha

Kwanza kuna dagaa nyama, dagaa mchele, dagaa wa Kigoma yaani unapika utakavyo iwe roast, kavu au mchuzi na kiafya dagaa ni chakula kinachosaidia kuongeza madini ya chuma aina ya kalsiamu na protini

Bamia pia ni mboga nzuri sana yenye virutubisho nyingi kwa Afya, sasa endeleeni kula pizzza na kubeza hivi vyakula

Dagaa na bamia unaweza kulia vyakula vingi tu hata ukiandaa roast yake mix

Kilo nyama ni 10,000 na dagaa ni 12,000
 
ni dhana potofu. Mwafrika Yuko brainwashed. Ana ujinga mwingi.

pia kitu kikipatikana kwa urahisi thamani yake hupungua.
yote kwa yote dagaa na bamia ni mboga nzuri sana. very delicious food!
 
Wakuu habari,

Kuna hili jambo linanitatiza na kunikasirisha sana, hivi hii dhana ya kwamba ukila bamia au dagaa wewe ni Masikini ilianzia wapi na inatokea wapi?

Yaani mimi niangaike kutafuta hela ninunue mboga ninyoipenda alafu mtu mwingine na fikra zake duni ahoji uwezo wangu wa maisha

Kwanza kuna dagaa nyama, dagaa mchele, dagaa wa Kigoma yaani unapika utakavyo iwe roast, kavu au mchuzi na kiafya dagaa ni chakula kinachosaidia kuongeza madini ya chuma aina ya kalsiamu na protini

Bamia pia ni mboga nzuri sana yenye virutubisho nyingi kwa Afya, sasa endeleeni kula pizzza na kubeza hivi vyakula

Dagaa na bamia unaweza kulia vyakula vingi tu hata ukiandaa roast yake mix

Daah Kwa hilo dagaa hapo mate yamenitoka mchana huu
 
Watu wanaodharau matembele mimi nawanikera sana wangejua ninavyoyapenda
 
Back
Top Bottom