Nikisindikizia Na Mtindi Bariidii Kwa Upande Wangu Inakuwanga Shokpaaa MnooNalipenda dagaa Ila sio Kila siku hasa dagaa wa Zanzibar, na mwanza Ila Kuna wa Kanda hiyo hiyo sjui ni wa geita musoma ama bukoba wachungu duuh,,
Dagaa waandaliwe vzr aani, ugali plus pilipili na maji ya baridii na mboga za majani..... Aaaaah dagaa mtamu bhn 😂 😂
Kwa sasa hamna chakula sikipendi na nikila najilaumu kama chips , soda nayo nimeacha kwa muda na sijutii kabisaNachojua vyakula vinavyojenga mwili huwa vinadhauriliwa sana na masikini.
Masikini tunaamini kula vizuri ni kula Chips , soda , pilau nyama n.k na sio dagaa wala maharage japo kuna ukweli Fulani Kati ya umasikini na dagaa
Hiyo tabia inatoka kwa haohao wanaokula bamia na dagaa ndio wenye fikra hizo,,,ukiwa na pesa utakula kile unachokipenda,,na usipokua nazo unakula kile kinachopatikana.Wakuu habari,
Kuna hili jambo linanitatiza na kunikasirisha sana, hivi hii dhana ya kwamba ukila bamia au dagaa wewe ni Masikini ilianzia wapi na inatokea wapi?
Yaani mimi niangaike kutafuta hela ninunue mboga ninyoipenda alafu mtu mwingine na fikra zake duni ahoji uwezo wangu wa maisha
Kwanza kuna dagaa nyama, dagaa mchele, dagaa wa Kigoma yaani unapika utakavyo iwe roast, kavu au mchuzi na kiafya dagaa ni chakula kinachosaidia kuongeza madini ya chuma aina ya kalsiamu na protini
Bamia pia ni mboga nzuri sana yenye virutubisho nyingi kwa Afya, sasa endeleeni kula pizzza na kubeza hivi vyakula
Dagaa na bamia unaweza kulia vyakula vingi tu hata ukiandaa roast yake mix
Hii tabia inakuja kwa sababu kule ulaya fresh food kama matunda na mboga zinaliwa na matajiri wakati masikini wanakula junk food kama mikate na madude the likes of pizza au na supermarket.Wakuu habari,