Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Misumarii nili kulaga sana getto enzi izooo.Wakuu habari,
Kuna hili jambo linanitatiza na kunikasirisha sana, hivi hii dhana ya kwamba ukila bamia au dagaa wewe ni Masikini ilianzia wapi na inatokea wapi?
Yaani mimi niangaike kutafuta hela ninunue mboga ninyoipenda alafu mtu mwingine na fikra zake duni ahoji uwezo wangu wa maisha
Kwanza kuna dagaa nyama, dagaa mchele, dagaa wa Kigoma yaani unapika utakavyo iwe roast, kavu au mchuzi na kiafya dagaa ni chakula kinachosaidia kuongeza madini ya chuma aina ya kalsiamu na protini
Bamia pia ni mboga nzuri sana yenye virutubisho nyingi kwa Afya, sasa endeleeni kula pizzza na kubeza hivi vyakula
Dagaa na bamia unaweza kulia vyakula vingi tu hata ukiandaa roast yake mix
Wanakunywa maji tu, au sio😁Kama wewe ni maskini ni maskini tu.Kwanza matajiri hawalagi.
Hili hili dagaa kauzu bei? Kweli mshamba? 😹😹ushamba tu
halafu kuna muda dagaa wana bei, kama wale dagaa wa mwanza uwatafute ukiwa arusha au mbeya utakutana na bei kubwa
Kwa mabilionea kama wewe misumari haiwezi kuwa bei.Hili hili dagaa kauzu bei? Kweli mshamba? 😹😹
Kauzu linauzwa kuanzia jero bhana 😹Kwa mabilionea kama wewe misumari haiwezi kuwa bei.
ukitaka wazuri ni ghali kama wa mwanza, wa mchele n.kKauzu linauzwa kuanzia jero bhana 😹
Tena hapo Mbeya bamia unapewa bure ukaungie dagaa lako 😹
Dagaa mchele mbona mtaani kwetu wanapima kuanzia buku tena wale wa leo leo..!!ukitaka wazuri ni ghali kama wa mwanza, wa mchele n.k
ukitaka wa hovyo unaenda zako pale soweto unajichotea
Mtaani kwenu ni mbeya sehemu gani?Dagaa mchele mbona mtaani kwetu wanapima kuanzia buku tena wale wa leo leo..!!
We tajiri unaishi wapi huko mnakouziwa dagaa bei?
Kwa hiyo kuku broiler ni wa kitajiri sana? Maana huko bar ndio kuku wenu pendwa...Mimi kitu chochote ambacho hakiuzwi sehemu za starehe ni kitu cha kimasikini ,nadhani na dagaa inaweza kuwa japo sina uhakika maana sijanywa vilabuni muda mrefu
Mkuu ERoni umekuwa rafiki yangu rafiki yangu muda sana ,hiyo komenti ni mtego kuna jamaa inabidi ajae nimtwange haswa .Kwa hiyo kuku broiler ni wa kitajiri sana? Maana huko bar ndio kuku wenu pendwa...
Kilo nyama ni 10,000 na dagaa ni 12,000Wakuu habari,
Kuna hili jambo linanitatiza na kunikasirisha sana, hivi hii dhana ya kwamba ukila bamia au dagaa wewe ni Masikini ilianzia wapi na inatokea wapi?
Yaani mimi niangaike kutafuta hela ninunue mboga ninyoipenda alafu mtu mwingine na fikra zake duni ahoji uwezo wangu wa maisha
Kwanza kuna dagaa nyama, dagaa mchele, dagaa wa Kigoma yaani unapika utakavyo iwe roast, kavu au mchuzi na kiafya dagaa ni chakula kinachosaidia kuongeza madini ya chuma aina ya kalsiamu na protini
Bamia pia ni mboga nzuri sana yenye virutubisho nyingi kwa Afya, sasa endeleeni kula pizzza na kubeza hivi vyakula
Dagaa na bamia unaweza kulia vyakula vingi tu hata ukiandaa roast yake mix
Wakuu habari,

ni dhana potofu. Mwafrika Yuko brainwashed. Ana ujinga mwingi.Wakuu habari,
Kuna hili jambo linanitatiza na kunikasirisha sana, hivi hii dhana ya kwamba ukila bamia au dagaa wewe ni Masikini ilianzia wapi na inatokea wapi?
Yaani mimi niangaike kutafuta hela ninunue mboga ninyoipenda alafu mtu mwingine na fikra zake duni ahoji uwezo wangu wa maisha
Kwanza kuna dagaa nyama, dagaa mchele, dagaa wa Kigoma yaani unapika utakavyo iwe roast, kavu au mchuzi na kiafya dagaa ni chakula kinachosaidia kuongeza madini ya chuma aina ya kalsiamu na protini
Bamia pia ni mboga nzuri sana yenye virutubisho nyingi kwa Afya, sasa endeleeni kula pizzza na kubeza hivi vyakula
Dagaa na bamia unaweza kulia vyakula vingi tu hata ukiandaa roast yake mix
Daah Kwa hilo dagaa hapo mate yamenitoka mchana huuWakuu habari,