Hivi hii tabia ya wanaume kugeuka nyuma tukipishana na mwanamke inaisha tukifika umri gani?

Ncha Kali

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2019
Posts
15,335
Reaction score
29,114
Hii ni hadi lini?

Mwenzenu naona umri unasonga tu lakini beki hazikabi, yaani jitihada bado hazizai matunda kila nikijaribu kujizuia.
downloadfile-4.jpg
 
Hii ni hadi lini?

Mwenzenu naona umri unasonga tu lakini beki hazikabi, yaani jitihada bado hazizai matunda kila nikijaribu kujizuia.

Je, ni uvumbuzi wa Tanzania pekee au hadi kwa wenzetu?
Kutoka 20:14 imeandikwa usizini.

MUNGU hakuweka maelezo kama iivyo amri zingine mfano amri ya Usitamani
 
Hii ni hadi lini?

Mwenzenu naona umri unasonga tu lakini beki hazikabi, yaani jitihada bado hazizai matunda kila nikijaribu kujizuia.

Je, ni uvumbuzi wa Tanzania pekee au hadi kwa wenzetu?
Dogo fanya kazi.

Kammon!
 
Back
Top Bottom