Hivi hii tabia ya wanaume kugeuka nyuma tukipishana na mwanamke inaisha tukifika umri gani?

Hivi hii tabia ya wanaume kugeuka nyuma tukipishana na mwanamke inaisha tukifika umri gani?

Na mara nyingi wanawake nao hugeuka nyuma kuangalia kama umegeuka. Hivyo Ngoma ni bila bila.
 
Kuna ile ukitaka kugeuka unacheck usalama kwanza kuona kama kuna watu watakuona?
 
Hii ni hadi lini?

Mwenzenu naona umri unasonga tu lakini beki hazikabi, yaani jitihada bado hazizai matunda kila nikijaribu kujizuia.

Je, ni uvumbuzi wa Tanzania pekee au hadi kwa wenzetu?
Macho yakiacha kuona tu. It last forever
 
Picha ya kupamba uzi [emoji28][emoji28]

Mwanaume atabaki kuwa mwanaume
20240411_011213.jpg
 
Na mara nyingi wanawake nao hugeuka nyuma kuangalia kama umegeuka. Hivyo Ngoma ni bila bila.
Kuna ile unatamani kugeuka ila unaogopa watu hadi mzigo unatokomea, roho inauma sana.🤣🤣
 
Inategemea Mimi jinsi nilivyo huwa sigeuki nyuma kumtazama mwanamke haijalishi anafananaje

Pia nikikuta watu wanashangaa au kupiga mwizi au wanagombana huwa sisimami hayo maeneo .

Hii ni kanuni nime-Apply wayback

Ni vizuri kutoa attention sehemu sahihi ili kuepuka kuwa vulnerability.
 
Back
Top Bottom