Hivi hii timu ya Juventus inamashabiki kweli

Hivi hii timu ya Juventus inamashabiki kweli

FB_IMG_17389958908241242.jpg
 
Hii timu inaitwa kubwa lakini naona Haina mashabiki au ukubwa wao ni upi kama makombe hawabebi aisee naishindwa kuelewa maana hata top 4 imekua shida kwao kuipata halafu inaitwa timu kubwa
Timu kubwa ki historia kama vile Brazilian national team. Hao Juve wanaitwa bibi kizee wa Turin kama jina la utani ndio walipopita akina Del Piero na Baggio aliyepaisha penati mechi ya fainali ya world cup mwaka 1994
 
juve ya edgar davis 🕶️
anacheza na miwani ilikuwa balaaa😁
 
Watoto siku hizi sijui wana tumia vitu gani?
Ungetumia wikipedia yako vizuri kwa dakikia 10 tu unge ifahamu Juventus turin vizuri sana.
Ni moja wapo ya timu kubwa na kongwe nchini italia.
 
Hii timu inaitwa kubwa lakini naona Haina mashabiki au ukubwa wao ni upi kama makombe hawabebi aisee naishindwa kuelewa maana hata top 4 imekua shida kwao kuipata halafu inaitwa timu kubwa
Imebaki historia, ni kweli Juventus ilikuwa timu kubwa na bora sana Ulaya yote, hasa miaka ya 80, 90 na 2000's

Juventus ilikuwa inaogopwa hata na Real Madrid, Manchester United na timu kubwa zote za ulaya, kipindi cha kizazi cha Ronaldo De Lima, Z. Zidane, E. Davids, P. Nedved, Andrea Pirlor na wengine...ila kwasasa ni kweli haina tena yale makali na ule ubora
 
Watoto siku hizi sijui wana tumia vitu gani?
Ungetumia wikipedia yako vizuri kwa dakikia 10 tu unge ifahamu Juventus turin vizuri sana.
Ni moja wapo ya timu kubwa na kongwe nchini italia.
Timu kubwa kivipi mzee miaka mingapi haijabeba kombe labda useme timu kongwe
 
Imebaki historia, ni kweli Juventus ilikuwa timu kubwa na bora sana Ulaya yote, hasa miaka ya 80, 90 na 2000's

Juventus ilikuwa inaogopwa hata na Real Madrid, Manchester United na timu kubwa zote za ulaya, kipindi cha kizazi cha Ronaldo De Lima, Z. Zidane, E. Davids, P. Nedved na wengine...ila kwasasa ni kweli haina tena yale makali na ule ubora
Kumbe ilikuwaga now ni underdog
 
Back
Top Bottom