Hivi hii timu ya Juventus inamashabiki kweli

Hivi hii timu ya Juventus inamashabiki kweli

Hii timu inaitwa kubwa lakini naona Haina mashabiki au ukubwa wao ni upi kama makombe hawabebi aisee naishindwa kuelewa maana hata top 4 imekua shida kwao kuipata halafu inaitwa timu kubwa
Kwa vyovyote lazima utakuwa umeanza kushabikia mpira miaka ya hivi karibuni. Yaani vibibi kizee wa Turin wakose mashabiki? Mbona huulize AC Milan au Inter? Kikubwa ni kwamba Bongo tunashabikia zaidi EPL na La Liga
 
Hii timu inaitwa kubwa lakini naona Haina mashabiki au ukubwa wao ni upi kama makombe hawabebi aisee naishindwa kuelewa maana hata top 4 imekua shida kwao kuipata halafu inaitwa timu kubwa
Screenshot_20250208-142044.jpg
Screenshot_20250208-142058.jpg
 
Hii timu inaitwa kubwa lakini naona Haina mashabiki au ukubwa wao ni upi kama makombe hawabebi aisee naishindwa kuelewa maana hata top 4 imekua shida kwao kuipata halafu inaitwa timu kubwa
Nahisi ligi za huko ni tofauti na huku bongo. Juve walishajijitengeneza mashabiki miaka mingi iliyopita, hivyo hata kwa sasa isipobeba makombe mashabiki wanabaki na timu yao tu.

Ni bongo tu ndio Simba na Yanga huwa hazitaki kuondoka kwenye moja na mbili kwa kutumia kila namna hata kununua marefa. Juve walijaribu kung'ang'ania utawala kwa rushwa wakabainika wakashushwa daraja.

Soka la Ulaya magharibi utawala wa timu huwa unabadilika muda hadi muda, hivyo utawala wa Juve umeyumba kidogo lakini bado wana mashabiki wengi na ni timu kubwa.

Unakumbuka kipindi kile Juve wanabeba kombe la Serie A wakiwa na Christiano Ronaldo?

Nasikia pia Napol ilishawahi kuwa hatari enzi zile za Maradona.

Kipindi nakua zilikuwepo timu maarufu tu England lakini kwa sasa huwa zinapanda na kushuka, mfano Leeds United, Blackburn Rovers, Middlesbrough nk.
 
Hii timu inaitwa kubwa lakini naona Haina mashabiki au ukubwa wao ni upi kama makombe hawabebi aisee naishindwa kuelewa maana hata top 4 imekua shida kwao kuipata halafu inaitwa timu kubwa
Imeshawahi kutwaa ubingwa zaidi ya mara tank mfululizo na kufika fainali mbili uefa ndani ya misimu mitano
 
Back
Top Bottom