Hivi hii timu ya Juventus inamashabiki kweli

Hivi hii timu ya Juventus inamashabiki kweli

Hamna Mimi sio shabiki Yao ila naona watu wanaiita timu kubwa sielewi ukubwa wa hii timu
Enzi za kina pavel nedved wewe wakina canavaro del piero

Au juve ya antonio conte.
Buffon chielini bagzalli bonuchi asamoah litchsteiner pirlo marchissio pogba matri na higuaini.

Hii pogba alikuwa wa moto hatari, yaani mpaka man utd wakatamani kumrudisha old trafford
 
Hivi kwanini mnaiita kibibi kizee maana wao Hilo jina la bibi naona hawalijui ila watanzania ndio mnawaita bibi
Wanaitwa 'old lady" na wanalijua hakuna watanzania wanaanzisha msemo wa mpira wa ulaya .
 
Imebaki historia, ni kweli Juventus ilikuwa timu kubwa na bora sana Ulaya yote, hasa miaka ya 80, 90 na 2000's

Juventus ilikuwa inaogopwa hata na Real Madrid, Manchester United na timu kubwa zote za ulaya, kipindi cha kizazi cha Ronaldo De Lima, Z. Zidane, E. Davids, P. Nedved na wengine...ila kwasasa ni kweli haina tena yale makali na ule ubora
Haijabeba ubingwa kwa miaka minne tu, kuanza 2012 mpaka 2020 walichukua ubingwa mfululizo
 
Wanaitwa 'old lady" na wanalijua hakuna watanzania wanaanzisha msemo wa mpira wa ulaya .
Wewe watanzania wanawaita Liverpool majogoo wa ulaya na wakati yule kwenye nembo sio kuku
 
Sawa kubwa jinga
Ndio kinara wa makombe ya ligi kuu, miaka ya 2010 tu hapo wamechukua serie a back to back takriban miaka 7. CR 7 kapita hapo juzi juzi tu. Washatoa mshindi wa balon d or anaitwa nedved (sidhani kama unamjua). Nafikiri wewe umeanza kufatilia mpira miaka ya karibuni wakati timu inapitia misukosuko kidogo. Kutikisika kwa timu hakuiondolei ukubwa wake. Unajua liverpool alichukua miaka mingapi kurudisha makali yake? unajua mara ya mwisho arsenal kuchukua premier league ilikua mwaka gani?
 
Wana club yao kubwa sana hapa Tanzania, wanapeleka ulaya watoto kila mara kwenye club zao kwa ajili ya soka...


Cc: Mahondaw
 
Hivi kwanini wabingo wanaiita kibibi kizee wakati wao Hilo jina hawalijui mkuu
Mkuu JUVENTUS ndio timu yenye mafanikio makubwa zaidi Italy kuliko zile zote za Milan na Roma, yaani AC Milan, Inter Milan na AS Roma zote hizo hakuna inayoikaribia JUVE hata kidogo achilia mbali hizi Genoa na Atalanta ndogondogo

Sidhani hata kama hizo timu zilishakuwa na Mchezaji kama Andrea Pirlor
 
Hivi kwanini wabingo wanaiita kibibi kizee wakati wao Hilo jina hawalijui mkuu
Mkuu fanya research yako vizuri. Kwamba wasiijue nickname yao.! ni sawa na kusema man utd hawalijui jina la red devils au arsenal hawalijui jina la the gunners
 
Hii timu inaitwa kubwa lakini naona Haina mashabiki au ukubwa wao ni upi kama makombe hawabebi aisee naishindwa kuelewa maana hata top 4 imekua shida kwao kuipata halafu inaitwa timu kubwa
Labda kama haija mashabiki bongo ila ina mashabiki wengi sana ulaya
 
Juventus ya Akina mark fish
Dr. Khumaro ndo ilikuwa balaa
 
Back
Top Bottom