Hivi hii timu ya Juventus inamashabiki kweli

Ronaldo de Lima hakuwai chezea juve,
ni inter n ac milan,
 
Ronaldo de Lima hakuwai chezea juve,
ni inter n ac milan,
Najua alichezea Inter, nimesema kipindi cha kizazi chao wakati wao wanavuma

However, wakati Juve inawika sana Ronaldo De Lima alikuwa akichezea Real Madrid
 
Najua alichezea Inter, nimesema kipindi cha kizazi chao wakati wao wanavuma

However, wakati Juve inawika sana Ronaldo De Lima alikuwa akichezea Real Madrid
Hivi kwanini wabingo wanaiita kibibi kizee wakati wao Hilo jina hawalijui mkuu
 
Kwahiyo Manchester United ni timu ndogo kwakua sasa hivi inafungwa fungwa ovyo na haibebi makombe?! Nadhani ungeingia kwanza mtandaoni uifuatilie hiyo timu vizuri uijue naamini utakuja kufuta huu uzi wako. Kuhusu mashabiki wa kwanza ni George Job yule pale Usafini nenda kapige nae stori atakwambia kwa nini Juventus Turin inaitwa Kibibi kizee cha Turin?!
 
Kwahiyo Manchester United ni timu ndogo kwakua sasa hivi inafungwa fungwa ovyo na haibebi makombe?! Nadhani ungeingia kwanza mtandaoni uifuatilie hiyo timu vizuri uijue naamini utakuja kufuta huu uzi wako
Sasa Manchester nayo ni timu kubwa Sasa hiyo ni timu kongwe sio kubwa yaani mzee
 
Vp Man u , ipo top four? Nayo ni kubwa au vp?
 
Watoto wa 2000 mambo mengine mnaweza kuyajua hata kwa kufatilia mtandaoni tu
 
Nadhani ungetaja vigezo vya timu kua timu kubwa na kua timu kongwe kwanza ndo tuanzie hapo kuchambua mbivu na mbichi. Timu kua kubwa inaweza kua hata kiuchumi, wewe huo ukubwa unauongelea kwenye angle ipi?! Maana United ana makombe mengi ya epl na ndo timu yenye mashabiki wengi duniani kuzidi timu yoyote ile. Sasa hebu eleza huo ukubwa unaosema wewe
Sasa Manchester nayo ni timu kubwa Sasa hiyo ni timu kongwe sio kubwa yaani mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…