KanyeWest_Tz
JF-Expert Member
- Jul 18, 2026
- 237
- 542
Kwa sajili hizi ambazo ziko nje ya uwezo wa kiuchumi wa timu husika.. Kutakuwa na namna chama cha CCM wanatumia yanga kama distraction kwa taifa ili mambo yao yaende smooth na vuguvugu la kisiasa liweze kudisolve kiaina.
Haikawahi kutokea club hapa Tanzania ikafannya kufuru ya namna hii kwa kweli..
Kwa vile sisi wamatumbi hatuna shida na soka linazidi kukua..
Tuendelee tu kusapoti manara na wenzake ili Afcon ifanyiwe mwakani.. Itakuwa chagizo bora la kukuza uchumi wetu pia.