Hivi hii Yanga itakua ni project ya chama cha mapinduzi ama?

Hivi hii Yanga itakua ni project ya chama cha mapinduzi ama?

Kuna mpuuzi mwingine kaanzisha uzi anaomba TFF waanzishe uthibiti wa kifedha kwenye matumizi ya Club hasa kwenye usajili,hii yote ni hofu ya Yanga.
Hii ni Nchi ina Mashabiki wapumba.vu sana wao kila msimu na Sababu
GSM anaharibu Ligi
Marefa wanaibeba Yanga
Serikali na Chama ina mkono na Yanga

Bumbaaavu kabisa
 
Kumtambulisha mchezaji mmoja Azizi Ki watumie ghalama ya zaidi ya Billioni Moja pale KMC kweli?
Sio utakatishaji huo kweli ?
I doubt for sure
 
Mamelodi na Al Ahly wanasajiri mchezaji kwa 5 billion za kitanzania unazungumzia usajiri wa wachezaji waliozunguka Nchi nyingi wanakuja kumalizia mpira Yanga aisee..
 
Mhindi pesa ipo tatzo bahili....akitoa anataka irudi.....
GSM yeye ana mapenzi na yanga, hela ipo mfuko wa shati !

Mo ni tapeli
 
mashabiki wa Thiimba hawajawahi amini Young Africans a.k.a the Citizens wanaweza pindua meza
 
Acha kuihusisha Yanga na vitu vya kipuuzi. Viongozi wa Yanga na simba ndiyo mamluki wa ccm. Ila hivyo vilabu kama vilabu havina mafungamano na ccm.

Mfano mdogo tu, ccm ilianzishwa 1977! Wakati Yanga ilianzishwa 1935 na simba 1936! Ukiangalia hapo utaona ni vitu viwili tofauti.
Sasa mbona yanga inafanya kufuru kwenye soka namna hii?
 
Sasa mbona yanga inafanya kufuru kwenye soka namna hii?
Ni kwa sababu Mo wenu anajiona ni mmiliki, na hivyo hataki kuruhusu matajiri wengine kuwekeza simba! Mwambie zile hela alizozificha benki azitoe kusajili wachezaji wa gharama.
 
Ni kwa sababu Mo wenu anajiona ni mmiliki, na hivyo hataki kuruhusu matajiri wengine kuwekeza simba! Mwambie zile hela alizozificha benki azitoe kusajili wachezaji wa gharama.
Sasa mbona nyie mmekomaa na GSM?
 
Kwa sajili hizi ambazo ziko nje ya uwezo wa kiuchumi wa timu husika.. Kutakuwa na namna chama cha CCM wanatumia yanga kama distraction kwa taifa ili mambo yao yaende smooth na vuguvugu la kisiasa liweze kudisolve kiaina.

Haikawahi kutokea club hapa Tanzania ikafannya kufuru ya namna hii kwa kweli..

Kwa vile sisi wamatumbi hatuna shida na soka linazidi kukua..

Tuendelee tu kusapoti manara na wenzake ili Afcon ifanyiwe mwakani.. Itakuwa chagizo bora la kukuza uchumi wetu pia.
28221.jpg
 
Kiujumla mifumo (MATRIX) ipo mingi katika category mbalimbali SOCCER ikiwa ni mojawapo.

Soccer ni social engineering (Swarm intelligence) aliyosukwa na ma-architect ili ku-kontrol mass kwa lengo maalumu.

Kwa kifupi sana michezo na burudani duniani kote inamalengo zaidi ya moja... Sasa moja ya malengo ni kuwa nyenzo ya tawala au Serikali pindi itakapohitajika Itabidi itumike.

Na ndio lengo la kuanzishwa kwake miaka 91-90 iliyopita walijua tutahitaji umakini wao katika kuwaleta pamoja sasa michezo, burudani na itikadi/falsafa(Imani)... Ni vitu vinavyobeba hisia ambayo ndio attention yenyewe, na attention (conciousness) ya mtu ndio kila kitu yaani ndio ulimwengu halisi. Mfano pesa, Taifa, mungu... Hivi vitu havipo ila kwakua tumeamua kuvipa attention vimepata kuwepo na kuwa kweli.

hivyo ukiwa mfuasi wa kimojawapo hapo unakuwa unatabilika na ukiwa tu unatabilika wanajua next move yako cause wao ndio wamechonga njia...

Inakuwa rahisi na wanaweza wakaku-control kwa remote... Pindi itakapo bidi.
 
Back
Top Bottom