Hivi hii Yanga itakua ni project ya chama cha mapinduzi ama?

Hivi hii Yanga itakua ni project ya chama cha mapinduzi ama?

Natamani kuona uwekezaji wao mkubwa uje uwalipe kubeba kombe la CAF ,huwa nashangaa sana pale wanapotolewa mapema
 
Hapana mm naona Simba hawana u chama ndani yao...
Ni sawa na kusema Chauma ni tawi la ccm halafu unasema Act huoni u chama ndani yao.

Issue iliyopo ni kua viongozi wengi ni wananchi ndio maana saiv wanatamba, mpunga wanao na hao viongozi ni mashabiki lialia.
 
Back
Top Bottom