KanyeWest_Tz
JF-Expert Member
- Jul 18, 2026
- 237
- 542
Kwa sajili hizi ambazo ziko nje ya uwezo wa kiuchumi wa timu husika.. Kutakuwa na namna chama cha CCM wanatumia yanga kama distraction kwa taifa ili mambo yao yaende smooth na vuguvugu la kisiasa liweze kudisolve kiaina.
Haikawahi kutokea club hapa Tanzania ikafannya kufuru ya namna hii kwa kweli..
Kwa vile sisi wamatumbi hatuna shida na soka linazidi kukua..
Tuendelee tu kusapoti manara na wenzake ili Afcon ifanyiwe mwakani.. Itakuwa chagizo bora la kukuza uchumi wetu pia.
Victor Doumbia NisameheniSasa mkuu sajili gani ya kutisha hapo yanga wamefanya?
Doumbia naIsmail Mgunda.Sasa mkuu sajili gani ya kutisha hapo yanga wamefanya?
Wewe Mo Dewj una vituko ujue.Kwa sajili hizi ambazo ziko nje ya uwezo wa kiuchumi wa timu husika.. Kutakuwa na namna chama cha CCM wanatumia yanga kama distraction kwa taifa ili mambo yao yaende smooth na vuguvugu la kisiasa liweze kudisolve kiaina.
Haikawahi kutokea club hapa Tanzania ikafannya kufuru ya namna hii kwa kweli..
Kwa vile sisi wamatumbi hatuna shida na soka linazidi kukua..
Tuendelee tu kusapoti manara na wenzake ili Afcon ifanyiwe mwakani.. Itakuwa chagizo bora la kukuza uchumi wetu pia.
simba na yanga zina zolotesha soka lenuNikionaga mtu anahusisha Mpira na Siasa namuana huwa HANA AKILI kabisa kuna mpuuzi nwenzio jana kalia sana kwneye Group na kaleft anasema et Yanga ataendelea kutawala mpira wa Bongo hadi Kikwete SR afe anabahati alikuwa mbali
Acha kuihusisha Yanga na vitu vya kipuuzi. Viongozi wa Yanga na simba ndiyo mamluki wa ccm. Ila hivyo vilabu kama vilabu havina mafungamano na ccm.Kwa sajili hizi ambazo ziko nje ya uwezo wa kiuchumi wa timu husika.. Kutakuwa na namna chama cha CCM wanatumia yanga kama distraction kwa taifa ili mambo yao yaende smooth na vuguvugu la kisiasa liweze kudisolve kiaina.
Haikawahi kutokea club hapa Tanzania ikafannya kufuru ya namna hii kwa kweli..
Kwa vile sisi wamatumbi hatuna shida na soka linazidi kukua..
Tuendelee tu kusapoti manara na wenzake ili Afcon ifanyiwe mwakani.. Itakuwa chagizo bora la kukuza uchumi wetu pia.
Kuna mpuuzi mwingine kaanzisha uzi anaomba TFF waanzishe uthibiti wa kifedha kwenye matumizi ya Club hasa kwenye usajili,hii yote ni hofu ya Yanga.Nikionaga mtu anahusisha Mpira na Siasa namuana huwa HANA AKILI kabisa kuna mpuuzi nwenzio jana kalia sana kwneye Group na kaleft anasema et Yanga ataendelea kutawala mpira wa Bongo hadi Kikwete SR afe anabahati alikuwa mbali
Mimi niliwambia kuna uzi wangu humuhumu na sidhani kama bado upo hai hadi saivi, nchi hii kuna ulemavu wetu ndio tunapigiwa humohumoKwa sajili hizi ambazo ziko nje ya uwezo wa kiuchumi wa timu husika.. Kutakuwa na namna chama cha CCM wanatumia yanga kama distraction kwa taifa ili mambo yao yaende smooth na vuguvugu la kisiasa liweze kudisolve kiaina.
Haikawahi kutokea club hapa Tanzania ikafannya kufuru ya namna hii kwa kweli..
Kwa vile sisi wamatumbi hatuna shida na soka linazidi kukua..
Tuendelee tu kusapoti manara na wenzake ili Afcon ifanyiwe mwakani.. Itakuwa chagizo bora la kukuza uchumi wetu pia.
Kuna Ligi yw Burundi jiweke hukosimba na yanga zina zolotesha soka lenu