Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Aug 17, 2026 #41 KanyeWest_Tz said: Sasa mbona nyie mmekomaa na GSM? Click to expand... Nyuma ya GSM kuna kundi kubwa la wahujumu uchumi wanatuunga mkono. Sasa nyinyi upande wa Mo kuna Magori na Mangungu! Wote wananuka njaa kama mimi.
KanyeWest_Tz said: Sasa mbona nyie mmekomaa na GSM? Click to expand... Nyuma ya GSM kuna kundi kubwa la wahujumu uchumi wanatuunga mkono. Sasa nyinyi upande wa Mo kuna Magori na Mangungu! Wote wananuka njaa kama mimi.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 46,410 Reaction score 114,823 Aug 18, 2026 #42 KanyeWest_Tz said: Sasa unafikiri mwekezaji gani huyo wa kufanana risk kubwa namna hiyoo? Click to expand... Hakuna mwingine bongo n mmoja tu
KanyeWest_Tz said: Sasa unafikiri mwekezaji gani huyo wa kufanana risk kubwa namna hiyoo? Click to expand... Hakuna mwingine bongo n mmoja tu
Majan JF-Expert Member Joined Jul 2, 2015 Posts 1,318 Reaction score 1,914 Aug 18, 2026 #43 Natamani kuona uwekezaji wao mkubwa uje uwalipe kubeba kombe la CAF ,huwa nashangaa sana pale wanapotolewa mapema
Natamani kuona uwekezaji wao mkubwa uje uwalipe kubeba kombe la CAF ,huwa nashangaa sana pale wanapotolewa mapema
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 18, 2026 #44 Lisemwalo lipo... Cc: Mahondaw
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Aug 18, 2026 #45 Tate Mkuu said: Mfano mdogo tu, ccm ilianzishwa 1977! Wakati Yanga ilianzishwa 1935 na simba 1936! Ukiangalia hapo utaona ni vitu viwili tofauti Click to expand... Huwezi kujua huwenda CCM ni mtoto wa vilabu hivyo viwili maana si kwa kudekezana huko.
Tate Mkuu said: Mfano mdogo tu, ccm ilianzishwa 1977! Wakati Yanga ilianzishwa 1935 na simba 1936! Ukiangalia hapo utaona ni vitu viwili tofauti Click to expand... Huwezi kujua huwenda CCM ni mtoto wa vilabu hivyo viwili maana si kwa kudekezana huko.
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 21,593 Reaction score 46,759 Aug 19, 2026 #46 KanyeWest_Tz said: Hapana mm naona Simba hawana u chama ndani yao... Click to expand... Ni sawa na kusema Chauma ni tawi la ccm halafu unasema Act huoni u chama ndani yao. Issue iliyopo ni kua viongozi wengi ni wananchi ndio maana saiv wanatamba, mpunga wanao na hao viongozi ni mashabiki lialia.
KanyeWest_Tz said: Hapana mm naona Simba hawana u chama ndani yao... Click to expand... Ni sawa na kusema Chauma ni tawi la ccm halafu unasema Act huoni u chama ndani yao. Issue iliyopo ni kua viongozi wengi ni wananchi ndio maana saiv wanatamba, mpunga wanao na hao viongozi ni mashabiki lialia.