Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Wakuu Kiingereza ni Uprofessor vina uhusiano gani?
Professor wa Mathematics na Fluent English kuna uhusiano gani?
Almost my whole university life nimefundishwa na Ma Prof. Wengi ambao ni wa mambo ya sayansi.. wote wanaongea kiingereza cha kawaida tu.

I see no problem there.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi pia sioni tatizo maan Yeye sio Prof wa English Language. Aongee fluent kwani yeye ni mwingereza? Tuache upuuzi kubezana mambo yasiyo na msingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwamba mlitaka aongee kama anakunywa maji, sema lafudhi zetu za makabila zinafanya kiingereza kutoteleza kwenye ulimi. sijaona shida sana hapo
 
A na B yote sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ni sentensi mbili zenye maana moja
1.hey my fellow bagamoyo villagers you have done me good things i will not forget.
2.I feel indebted by the cooperation of bagamoyo residents

Prof tulitarajia hiyo sentensi ya pili .mpoki hiyo ya kwanza
 
Hivi katika utendaji wa kazi kingereza au rafudhi huwaga inachangia kufikia malengo kwa asilimia ngapi?
 
Hizi ni sentensi mbili zenye maana moja
1.hey my fellow bagamoyo villagers you have done me good things i will not forget.
2.I feel indebted by the cooperation of bagamoyo residents

Prof tulitarajia hiyo sentensi ya pili .mpoki hiyo ya kwanza
Haswaaaa
 
Hivi mwanaye "Dajos" naye si amesoma Canada!? Mbona anakiingereza kizuri kuliko mama?
Tena kasoma Canada with first class, Kuna shida mahala, ndo maana hazipendi English medium
 
Hizi ni sentensi mbili zenye maana moja
1.hey my fellow bagamoyo villagers you have done me good things i will not forget.
2.I feel indebted by the cooperation of bagamoyo residents

Prof tulitarajia hiyo sentensi ya pili .mpoki hiyo ya kwanza

Naona ni sentensi mbili zilizobeba ujumbe tofauti, lakini unaokaribiana kwa mbali.
 
Low IQ = Kilaza
Nimekutana na maprof. wengi wenye uwezo mzuri wa kumudu lugja walizosomea masomo yao. Wengine wamesomea Ujerumani, wanaongea Kiingereza safi, Kijerumani Kizuri na Kiswahili sanifu.

Kushindwa kumudu kitu ulichojifunza na kufundishwa kwa miaka mingi, ni uthibitisho kuwa you are not trainable. Being not trainable is one of the indicators of low IQ.
 
Wakuu Kiingereza ni Uprofessor vina uhusiano gani?
Professor wa Mathematics na Fluent English kuna uhusiano gani?
Almost my whole university life nimefundishwa na Ma Prof. Wengi ambao ni wa mambo ya sayansi.. wote wanaongea kiingereza cha kawaida tu.

I see no problem there.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tangu tupate viongozi wa kisiasa wasipjua Kiingereza kutomuda lugha hiyo lumepata watetezi wengi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom