Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh lakini sikukuqoute weweHapana mkuu, nilitaka kukuonyesha kwamba Kiingereza cha kuandika (doctoral thesis) sio cha kuongea, cha kuongea hukuzwa kwa kuongea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ataagiza mkamatwe shauri zenu😀😀😀😀😀😀
Mimi pia sioni tatizo maan Yeye sio Prof wa English Language. Aongee fluent kwani yeye ni mwingereza? Tuache upuuzi kubezana mambo yasiyo na msingiWakuu Kiingereza ni Uprofessor vina uhusiano gani?
Professor wa Mathematics na Fluent English kuna uhusiano gani?
Almost my whole university life nimefundishwa na Ma Prof. Wengi ambao ni wa mambo ya sayansi.. wote wanaongea kiingereza cha kawaida tu.
I see no problem there.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe wasema😀😀😀😀😀😀Kuna wanaosoma wapate vyeti vyenye GPA nzuri nzuri na Kuna wanaosoma waelewe.... Sasa mama yetu hapo alikuwa team kukremu ili apate AAA
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ni sentensi mbili zenye maana moja
Kajikuta tu???😀😀😀😀
kwamba mlitaka aongee kama anakunywa maji, sema lafudhi zetu za makabila zinafanya kiingereza kutoteleza kwenye ulimi. sijaona shida sana hapo
HaswaaaaHizi ni sentensi mbili zenye maana moja
1.hey my fellow bagamoyo villagers you have done me good things i will not forget.
2.I feel indebted by the cooperation of bagamoyo residents
Prof tulitarajia hiyo sentensi ya pili .mpoki hiyo ya kwanza
Tena kasoma Canada with first class, Kuna shida mahala, ndo maana hazipendi English medium
Helmet au element?!?Hivi nini kazi ya Helmet
Hizi ni sentensi mbili zenye maana moja
1.hey my fellow bagamoyo villagers you have done me good things i will not forget.
2.I feel indebted by the cooperation of bagamoyo residents
Prof tulitarajia hiyo sentensi ya pili .mpoki hiyo ya kwanza
PhD za kutafutia ugali hizi
Nimekutana na maprof. wengi wenye uwezo mzuri wa kumudu lugja walizosomea masomo yao. Wengine wamesomea Ujerumani, wanaongea Kiingereza safi, Kijerumani Kizuri na Kiswahili sanifu.
Kushindwa kumudu kitu ulichojifunza na kufundishwa kwa miaka mingi, ni uthibitisho kuwa you are not trainable. Being not trainable is one of the indicators of low IQ.
Wakuu Kiingereza ni Uprofessor vina uhusiano gani?