Chikenpox
JF-Expert Member
- Oct 15, 2022
- 784
- 1,246
Hivi imefika hatua kweli nafasi moja inagombaniwa na watu zaidi ya mia moja?
Leo nimeenda kufanya interview ya kufundisha hesabu shule inaotwa st James English medium IPO banana kitunda Cha ajabu nafasi moja tu inayotakiwa nimekutana na watu zaidi ya mia tena hesabu. Nimeahilisha sijafanya kabisa.
Hivi viongozi hawalioni hili kuwa ni bomu Soon litalipuka. So many graduates are in street na wengi walirundikwa kipindi Cha jpm mana hajaaniri kabisa. Sasa serikali kwa nini isiache mambo yote na kushughurika na hili