Siyo kwamba JPM hakuajiri tu, bali alii-frustrate na PRIVATE SECTOR ambayo ndiyo mwajiri mkubwa. Imagine kumfilisi Yusuf Manji, kwa akili yake ndogo alidhani anaye athirika ni Yusuf Manji pekee akasau na watu zaidi ya 3,000 waliokuwa wanafanya kwenye makampuni yake.
Vipi kuhusu vifo vya ma tycoon wa private sector kama Ally Mufuruki, Subbash Patel, Reginald Mengi na Salum Shamte? Wote hawa kufa kwao kuna impact na employment maana walikuwa ndiyo key players.
Fikiria Dangote alivyosumbuliwa kipindi cha Magufuli mpaka akatamani afunge virago. As such baada ya Dangote kuwa harassed vile, nchi haikuweza ku attract investor mwingine wa saizi ya mtaji kama wa Dangote. Ndiyo athari za kutawaliwa na kichaa halafu bado wajinga mnamuita shujaa