Hivi hili bomu kweli viongozi hawalioni? Unemployment rate imekuwa kubwa mno

Hivi hili bomu kweli viongozi hawalioni? Unemployment rate imekuwa kubwa mno

Mnapenda kutoa majibu mepesi kwenye hoja ngumu....huko nchi za wenzetu suala la ajira lipo kwa Sababu ya ukuaji wa sayansi na technolojia.....Vipi huku kwetu ambapo bado tunahitaji nguvu kazi. Acheni kugeneralise mambo nyie wazungu pori.
Bado nukta(point) ni ajira,wote hawana ajira bila kujali nini kimewakisesha ajira
 
No. Ni Tanzania tu don't justify the problem.
Tanzania Wala haipo kwenye double digit,nchi ya kwanza Djibouti sijui Ina 70+% kwa sensa ya 2021,hapo kati Kuna nchi za ulaya zina double digit za kutosha tu,jisumbue kusaka data Kama hata habari huwa hufuatilii
 
Aisee ngumu kumesaaah tatizo la ajira sio dunia nzima nakataa tatizo la ajira ni uku kwa wapigaji wa pesa za umma kwa sababu nini ya hesabu bhana kunashule zipo mijini awana walimu wa kutosha wa kiswahili na serikali aina mpango kabisa wa kuajiri kwa kisingizio cha pesa sijui kuenda kwenye miradi ya kimkakati , sijui madeni mengi yame mature yanalipwa amna kitu danadana nyingi kumbe mijiziiiiiii inawadanganya vijana wa watu wajiajiri angali ya wao kazi kuiba tu wanashindwa hata kujifungulia biashara wapate vipato halali na mitaji wanayo kutwa kuwaponda vijana wasio na mitaji kwa kuwaadaha na nyimbo za kujiajiri tatizo la ajira dunia nzima ety nyambafuuu zao
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Shida ya wengi wamefocus kwenye kuajiriwa! Tatizo la ajira ni dunia nzima! Na serikali haiwezi kuajiri kila mtu!! Ukitembea na mawazo hayo huwezi kuilalamkia serikali!!
Upo sehemu unakula kuku kwa mrija na huku Kuna jamaa akahonga hela Malaya wake gari la 480M. Unaweza ukawa wewe unajaribu kumrudisha huyu jamaa ama Kum neutralize. Hivi na watt wa viongozi nao wanawaambiwa hivyo kweli ama Ni mwendo wa simu na memo.

Mtu tokea enzi za jk anakula teuzi Kama mavura baadaye anajifanya kushauri eti wajiajiri mbona mpaka jpm akarudi udongoni jk akampa shavu Korea kupitia kwa Samia Mana sahivi haka kazie kanafanya chochote kanavyojisikia
 
Elimu ni ufunguo wa maisha, usilazimishe ufunguo ufungue kitasa ambacho sio chake(ajira), tumia funguo kufungua mlango unaokubali
Ukute na wewe ndiye mtaalamu unashauri wafanya maamuzi?! Acheni kupotosha, ajira ni tatizo linalotengenezwa ama kwakujua au kutokujua....Kiuhalisia nchi zetu hazitakiwi kukosa ajira
 
Nime kupa hapo figures...Au dunia kwako ni kitu gani? Acheni uwongo!

Kama watu hawajui jinsi ya kutengeneza ajira waombe msaada na siyo kudanganya wenzao
Huyu anakula kuku kwa mrija so Mambo yakilipuka anaogopa atapoteza kuku wake na hatokula mbususu.

Hii nchi Ni kweli Kuna bomu linafugwa na siku kondoo akiamka nadhani hata mbwa mwitu mbweha inabidi wakasome kwanza
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Unemplyment kubww ila cha kushangaza kuna bilion kama 800 hivi zimepotea hivi hivi mama hana hata habri yeye anaponya nchi
What's the fakie kuwa Kuna bilioni ngapi ama kweli saivi wajanja wanakula nchi wachunga ng'ombe walitunyima Uhuru mno wa kuongea washamba na malimbukeni.

Jamaa akajinunulia v 600M mwingine akahonga hawara la 480M hela zetu. Yaani inabidi tukazidai ama tuandame, shida wanachukua Askari vilaza wanakuja kupambana na sie na huku tunatetea maslahi ya nchi
 
Shida ya wengi wamefocus kwenye kuajiriwa! Tatizo la ajira ni dunia nzima! Na serikali haiwezi kuajiri kila mtu!! Ukitembea na mawazo hayo huwezi kuilalamkia serikali!!
Hawawezi kuajiri ila wanaweza kutoa misaada nchi za Ulaya. Hawawezi kuajiri ila humo humo ndani wanaweza kuiba billions of money 😀 😀 😀
 
Suala la ajira linazidi kuwa gumu kadri population invyoongezeka, population control duniani inahitajika sana kipindi hiki.
 
Tatizo la ajira kwa vijana ni dunia nzima
Hivi wewe watoto wako wakilala njaa na asubuhi wakahoji kwanini walilala njaa;utawambia ata jirani yako watoto wake walilala njaa!
Acheni kutafuta majibu mepesi kwenye maswali magumu.
Biden mwenyewe anapambana watu wake wapate ajira lakini Tanzania nchi iliyojaa rasimali za kila aina vijana wanaambiwa eti ukosefu wa ajira ni Dunia nzima.Nonsense!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Shida ni pale mkiambiwa green mamba ni hatari mnakataa na kusema ni rafiki wa muda mrefu miaka sitini hadi tumezeeka.Hiyo ina itwa mwana kulitafutia mwana kulipata kwa mujibu wa rafiki zangu wazaramoo[emoji23]
Eti Green mamba![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
 
Kwenye ahadi ya ilani yao walisema watatengeneza ajira millioni 8 ,lakini wanaiba pesa nyingi za umma halafu wanakwambia kijana kajiajiri bila mtaji na masharti mengi ya hovyo..watu wanaiba takribani billioni zaidi ya 300 hivi hizi zingeajiri vjn kiasi gani halafu hapo tena watakuja kwenye kampeni mtadanganywa kwa 5000/-muwapigie kura za kuendelea kuwatawala yaani wanafanya watu km mazezeta vilee
 
Shida ya wengi wamefocus kwenye kuajiriwa! Tatizo la ajira ni dunia nzima! Na serikali haiwezi kuajiri kila mtu!! Ukitembea na mawazo hayo huwezi kuilalamkia serikali!!
Tatizo la ajira siyo la dunia nzima. Marekani makampuni yanatafuta watu wa kuajiri ila wenye sifa za kutosha hawapatikani. Unemployment rate kwa Marekani sasa hivi 3.6% ambayo ni kwa wale wasioweza kufanya kazi. Kuchukulia tu kuwa swala la unemployement siyo jukumu la serikali ni makosa; hilo ni jukumu la serikali.
 
Tutalaumu bure tu, kwa sasa hivi ni bora kama unakijana wako anasoma, panga kumsomezha kwenye vyuo vya
Veta ambapo akitoka huko ajiajiri moja kwa moja
Una akili finyu mno
 
Hivi imefika hatua kweli nafasi moja inagombaniwa na watu zaidi ya mia moja?

Leo nimeenda kufanya interview ya kufundisha hesabu shule inaotwa st James English medium IPO banana kitunda Cha ajabu nafasi moja tu inayotakiwa nimekutana na watu zaidi ya mia tena hesabu. Nimeahilisha sijafanya kabisa.

Hivi viongozi hawalioni hili kuwa ni bomu Soon litalipuka. So many graduates are in street na wengi walirundikwa kipindi Cha jpm mana hajaaniri kabisa. Sasa serikali kwa nini isiache mambo yote na kushughurika na hili
samia nchi imemshinda,anakula na genge lake la kina nape,nape mashavu makubwa na mtumbo huo huku vijana wakitaabika.

tabaka tawaliwa watachoka watatake revolution.Ni suala la muda Theory za Karl Max zinaenda kutimia.
 
Back
Top Bottom