Hivi hili bomu kweli viongozi hawalioni? Unemployment rate imekuwa kubwa mno

Unemplyment kubww ila cha kushangaza kuna bilion kama 800 hivi zimepotea hivi hivi mama hana hata habri yeye anaponya nchi
 
Rudi chuo kasone fani zisizo na ushindani mkubwa

Somo lipi lina ajira unatakuwa kufanya research kabla kuomba kusoma

Usisome tu kimkumbo matokeo ndio hayo

Soma rare proffession hot cake
 
Rudi chuo kasone fani zisizo na ushindani mkubwa

Somo lipi lina ajira unatakuwa kufanya research kabla kuomba kusoma

Usisome tu kimkumbo matokeo ndio hayo

Somema rare proffession hot cake
Kama.ualimu umekuwa issue siku siku hizi ipi fani Ina unafuu
 

Huyo anayeita watu 100 naye ni mwehu, siwezi ajiriwa naye
 


Wafanye lectures on line kama mwalimu akiwa competent atajipatia ulaji via subscription mbali na kujenga jina, Mbona Wazungu na wahindi nk wanafanya mambo hayo isipokuwa waafrika ni wachache mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…