inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Bado nukta(point) ni ajira,wote hawana ajira bila kujali nini kimewakisesha ajiraMnapenda kutoa majibu mepesi kwenye hoja ngumu....huko nchi za wenzetu suala la ajira lipo kwa Sababu ya ukuaji wa sayansi na technolojia.....Vipi huku kwetu ambapo bado tunahitaji nguvu kazi. Acheni kugeneralise mambo nyie wazungu pori.
Tanzania Wala haipo kwenye double digit,nchi ya kwanza Djibouti sijui Ina 70+% kwa sensa ya 2021,hapo kati Kuna nchi za ulaya zina double digit za kutosha tu,jisumbue kusaka data Kama hata habari huwa hufuatiliiNo. Ni Tanzania tu don't justify the problem.
Nime kupa hapo figures...Au dunia kwako ni kitu gani? Acheni uwongo!Tatizo la ajira kwa vijana ni dunia nzima
Upo sehemu unakula kuku kwa mrija na huku Kuna jamaa akahonga hela Malaya wake gari la 480M. Unaweza ukawa wewe unajaribu kumrudisha huyu jamaa ama Kum neutralize. Hivi na watt wa viongozi nao wanawaambiwa hivyo kweli ama Ni mwendo wa simu na memo.Shida ya wengi wamefocus kwenye kuajiriwa! Tatizo la ajira ni dunia nzima! Na serikali haiwezi kuajiri kila mtu!! Ukitembea na mawazo hayo huwezi kuilalamkia serikali!!
Ukute na wewe ndiye mtaalamu unashauri wafanya maamuzi?! Acheni kupotosha, ajira ni tatizo linalotengenezwa ama kwakujua au kutokujua....Kiuhalisia nchi zetu hazitakiwi kukosa ajiraElimu ni ufunguo wa maisha, usilazimishe ufunguo ufungue kitasa ambacho sio chake(ajira), tumia funguo kufungua mlango unaokubali
Huyu anakula kuku kwa mrija so Mambo yakilipuka anaogopa atapoteza kuku wake na hatokula mbususu.Nime kupa hapo figures...Au dunia kwako ni kitu gani? Acheni uwongo!
Kama watu hawajui jinsi ya kutengeneza ajira waombe msaada na siyo kudanganya wenzao
What's the fakie kuwa Kuna bilioni ngapi ama kweli saivi wajanja wanakula nchi wachunga ng'ombe walitunyima Uhuru mno wa kuongea washamba na malimbukeni.Unemplyment kubww ila cha kushangaza kuna bilion kama 800 hivi zimepotea hivi hivi mama hana hata habri yeye anaponya nchi
Hawawezi kuajiri ila wanaweza kutoa misaada nchi za Ulaya. Hawawezi kuajiri ila humo humo ndani wanaweza kuiba billions of money 😀 😀 😀Shida ya wengi wamefocus kwenye kuajiriwa! Tatizo la ajira ni dunia nzima! Na serikali haiwezi kuajiri kila mtu!! Ukitembea na mawazo hayo huwezi kuilalamkia serikali!!
Serikali lazima itengeneze ajira. Lazima ihakikishe watu watu wanaajira.Shida ya wengi wamefocus kwenye kuajiriwa! Tatizo la ajira ni dunia nzima! Na serikali haiwezi kuajiri kila mtu!! Ukitembea na mawazo hayo huwezi kuilalamkia serikali!!
Hivi wewe watoto wako wakilala njaa na asubuhi wakahoji kwanini walilala njaa;utawambia ata jirani yako watoto wake walilala njaa!Tatizo la ajira kwa vijana ni dunia nzima
Eti Green mamba![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Shida ni pale mkiambiwa green mamba ni hatari mnakataa na kusema ni rafiki wa muda mrefu miaka sitini hadi tumezeeka.Hiyo ina itwa mwana kulitafutia mwana kulipata kwa mujibu wa rafiki zangu wazaramoo[emoji23]
Tatizo la ajira siyo la dunia nzima. Marekani makampuni yanatafuta watu wa kuajiri ila wenye sifa za kutosha hawapatikani. Unemployment rate kwa Marekani sasa hivi 3.6% ambayo ni kwa wale wasioweza kufanya kazi. Kuchukulia tu kuwa swala la unemployement siyo jukumu la serikali ni makosa; hilo ni jukumu la serikali.Shida ya wengi wamefocus kwenye kuajiriwa! Tatizo la ajira ni dunia nzima! Na serikali haiwezi kuajiri kila mtu!! Ukitembea na mawazo hayo huwezi kuilalamkia serikali!!
Hao bodaboda wanafanyia wapi interviewBoda boda zipo kaombe upige mwaka iwe yako
Una akili finyu mnoTutalaumu bure tu, kwa sasa hivi ni bora kama unakijana wako anasoma, panga kumsomezha kwenye vyuo vya
Veta ambapo akitoka huko ajiajiri moja kwa moja
samia nchi imemshinda,anakula na genge lake la kina nape,nape mashavu makubwa na mtumbo huo huku vijana wakitaabika.Hivi imefika hatua kweli nafasi moja inagombaniwa na watu zaidi ya mia moja?
Leo nimeenda kufanya interview ya kufundisha hesabu shule inaotwa st James English medium IPO banana kitunda Cha ajabu nafasi moja tu inayotakiwa nimekutana na watu zaidi ya mia tena hesabu. Nimeahilisha sijafanya kabisa.
Hivi viongozi hawalioni hili kuwa ni bomu Soon litalipuka. So many graduates are in street na wengi walirundikwa kipindi Cha jpm mana hajaaniri kabisa. Sasa serikali kwa nini isiache mambo yote na kushughurika na hili