lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,920
- 3,388
mkikaa ofisini mmevimbiana mavitambi km msechu hamtaki lionekane tatizo kwa kuwa mpo kwenye mfumo na familia zenu.Shida ya wengi wamefocus kwenye kuajiriwa! Tatizo la ajira ni dunia nzima! Na serikali haiwezi kuajiri kila mtu!! Ukitembea na mawazo hayo huwezi kuilalamkia serikali!!
Siyo kwamba JPM hakuajiri tu, bali alii-frustrate na PRIVATE SECTOR ambayo ndiyo mwajiri mkubwa. Imagine kumfilisi Yusuf Manji, kwa akili yake ndogo alidhani anaye athirika ni Yusuf Manji pekee akasau na watu zaidi ya 3,000 waliokuwa wanafanya kwenye makampuni yake.Hivi viongozi hawalioni hili kuwa ni bomu Soon litalipuka. So many graduates are in street na wengi walirundikwa kipindi Cha jpm mana hajaaniri kabisa. Sasa serikali kwa nini isiache mambo yote na kushughurika na hihil
Ndugu yangu wee.. wenyewe wanasema vijana jiajirini kwenye bodaboda, mama lishe na machinga! Hilo bomu hawalioni na siku likilipuka itachukuwa miaka 30 mizima kuirudisha nchi kwenye reli. Ndiyo maana mimi nasema hizi nguvu za kuaminisha watu kuwa rais Samia na CCM wanaipeleka nchi pazuri zingetakuwa zitumike kutahadharisha yajayo!Hivi imefika hatua kweli nafasi moja inagombaniwa na watu zaidi ya mia moja?
Leo nimeenda kufanya interview ya kufundisha hesabu shule inaotwa st James English medium IPO banana kitunda Cha ajabu nafasi moja tu inayotakiwa nimekutana na watu zaidi ya mia tena hesabu. Nimeahilisha sijafanya kabisa.
Hivi viongozi hawalioni hili kuwa ni bomu Soon litalipuka. So many graduates are in street na wengi walirundikwa kipindi Cha jpm mana hajaaniri kabisa. Sasa serikali kwa nini isiache mambo yote na kushughurika na hili
Ongezea na "stupid" 😊Hivi wewe watoto wako wakilala njaa na asubuhi wakahoji kwanini walilala njaa;utawambia ata jirani yako watoto wake walilala njaa!
Acheni kutafuta majibu mepesi kwenye maswali magumu.
Biden mwenyewe anapambana watu wake wapate ajira lakini Tanzania nchi iliyojaa rasimali za kila aina vijana wanaambiwa eti ukosefu wa ajira ni Dunia nzima.Nonsense!
Pamoja na mazuri yake meeengi, hapa alichemka sana!Siyo kwamba JPM hakuajiri tu, bali alii-frustrate na PRIVATE SECTOR ambayo ndiyo mwajiri mkubwa. Imagine kumfilisi Yusuf Manji, kwa akili yake ndogo alidhani anaye athirika ni Yusuf Manji pekee akasau na watu zaidi ya 3,000 waliokuwa wanafanya kwenye makampuni yake.
Vipi kuhusu vifo vya ma tycoon wa private sector kama Ally Mufuruki, Subbash Patel, Reginald Mengi na Salum Shamte? Wote hawa kufa kwao kuna impact na employment maana walikuwa ndiyo key players.
Fikiria Dangote alivyosumbuliwa kipindi cha Magufuli mpaka akatamani afunge virago. As such baada ya Dangote kuwa harassed vile, nchi haikuweza ku attract investor mwingine wa saizi ya mtaji kama wa Dangote. Ndiyo athari za kutawaliwa na kichaa halafu bado wajinga mnamuita shujaa
Je, Serikali nayo imewekwa mazingira rafiki ya hao vijana kujiajiri? Hapa namaanisha sera na mitaji.Shida ya wengi wamefocus kwenye kuajiriwa! Tatizo la ajira ni dunia nzima! Na serikali haiwezi kuajiri kila mtu!! Ukitembea na mawazo hayo huwezi kuilalamkia serikali!!
Ingawa kuna maeneo mengine tatizo ni kubwa zaidi.Tatizo la ajira kwa vijana ni dunia nzima
Hakuna kitu ambacho dunia nzima inalinganaIngawa kuna maeneo mengine tatizo ni kubwa zaidi.
Hivi imefika hatua kweli nafasi moja inagombaniwa na watu zaidi ya mia moja?
Leo nimeenda kufanya interview ya kufundisha hesabu shule inaotwa st James English medium IPO banana kitunda Cha ajabu nafasi moja tu inayotakiwa nimekutana na watu zaidi ya mia tena hesabu. Nimeahilisha sijafanya kabisa.
Hivi viongozi hawalioni hili kuwa ni bomu Soon litalipuka. So many graduates are in street na wengi walirundikwa kipindi Cha jpm mana hajaaniri kabisa. Sasa serikali kwa nini isiache mambo yote na kushughurika na hili
Bongo kulipuka mtafanyaje??? Kenya, Nigeria hizi hali walikua nazo muda sana na maisha ikabidi yasonge na jamaa ni watata kuliko hata wabongo, ukishazielewa serikali za kiafrika, mapema jiongeze mwenyewe ila ukisikilizia serikali ifanye jambo unaweza ukafikia umri wa kikongwe bado unalalama tu, kikubwa omba Mungu endeleza mapambano serikali kama itakukuta basi mbele kwa mbele., hii hali ya sasa ni mwanzo tu magraduate wanazidi fyatuliwa huko vyuoni, na vijana huko sekondari div 1 zimekua mingi za kutosha kwahio wengi sana lazima waingie vyuoni, ila naona mbeleni itasaidia hizi akili za kwamba nifaulu nipate kazi nzuri zitapotea, kitakuja kile kizazi ambacho mtu anatumia vipawa vyake na elimu kufanya yake maana digirii zitakua za kumwaga mitaaniHivi imefika hatua kweli nafasi moja inagombaniwa na watu zaidi ya mia moja?